Send off ya mtoto wa kigogo Mlimani City imenifurahisha sana, muwe na adabu na sherehe za watu

Send off ya mtoto wa kigogo Mlimani City imenifurahisha sana, muwe na adabu na sherehe za watu

Ungewakumbusha tumbo hali ridhiki hata wangebeba vyote kungekucha wakatafuta tena chakula
Kama unaweza kuchanga laki mbili basi unaweza kula chochote unachotaka nje ya ukumbi kwa kununua hakuna haja ya kuiba chakula uondoke nacho
Wachaga wanapenda kujulikana sana mkuu unawezakuta wamechanga hizohela jpili hawana hata hela za nyama...kisa waonekane kwa grp wamechanga

Ilee kituu imenifurahisha nilitaman ningekuwa na condom za bure niwape wale walinzi maana watuu walitoa hvinywajiii kwenye makotiii nasema hii sicheki ila walikomaa nao wengine wakadaiii sisi n wajomba wa mtoto wa harusi wakawambia mpigieeen

Weeeeee kila namba zilizopigwaaa jaribu tena abaadaeeeee

Kama na wee una harusii ukijua una walinzi wa kusachi ndugu zima simuyakoo msibaa yaan zima kabisa utapigiwa mpaka ukoooe

Wakajaa wanakwaya wa kwaya loja bana pale karibu na sayansi kkkt wakajifanya waliambiwa waondoke na wanachotaka. Mwenyekiti wa vinywaji akawambia mpigien mwenye shuhuli

Jibuuuu n

Nambaa uliyopiga kwa sasa haipatikan jaributenaa badaeeee hahahaaaa niliipenda ahii dk 0 weken pemben vinywaji ama rudini mkanywee viisheee
 
BINAFSI
Sio kwa niambaya
Kwenye chakula hawakutakiwa kuvirudisha kabisa no 1.anakula nani baadae
2.unaenda kuwapa wanyama ama?
3.wamechanga watu unagawa kwa wanyama
4.vinywaji sina shida navyoo maanaa kweli kuna wengine wanakuwa na mikataba vinavyobaki tunawa refund kwa kiasi kidogooooo

5.swalii languu kuuu nilijiulizaq waty wamekunywa wine nusu chupa imebaki
Wanywe nani makombooo

6..wamekunywa hennessy imebaki nusu chupa wanywe nani makombo

7 bakadi imebaki nusu chupa unazirudisha wanywe nani

8.napenda sana sherehe za diamond jubilee wakee walinzi tena wamevaa jezi kabisa za walinzi wanakuomba weka mezani ulichonachoo vile havijaguswa kufunguliwa wanaweka pemben

una vinywaji vimefunuliwaaa nenda navyooo nawaelewa sanaaaaaa........
Ingawa Nao wanahongeka sanaa tu shida mtu ana hennessy 4 hata kutoa kumi shida kisa umechanga lak 2.3 zakoo weweeee naijuaahiooo lazima lilee taaa likumulikeee huku unatoaa jamaa wa vid kakazana kukuchukua kama unamlisha keki bwana harusi
 
mwambaa nilichompenda aliwatega waliochanga wasiochanga

yale magrp yote ya ukoo aliwapa kadi moja kwa grp yaan ukifika unaonyesha simu wanangalia namba za kadi ikingizwa kwa mashine wanakuta imeshajazwa na jina lako

umechanga ujachangaaa hapo wazamiaji kama nawaonaaa
 
Habari za asubuhi wapendwa

Leo ni siku ya Jumamosi ingawa sijachelewa na pengine una kadi za harusi kadhaa zingatia haya

Ukumbuke kadi za harusi kwenda harusini

Ukienda harusini hakikisha umekula ila usishibe

Hakikisha umekunywa ila usivimbiwe ukavimbiwe harusini

Mkiona vinywaji vingi kila aina hakikisha unakunywa unachostahili usiaibike

Ukiona chakula kila aina na mnaulizwa mwende mkarudie, Kula kinachostahili

Shetani asikuingie ukaenda nje kutafuta mfuko utaaibika.

Majuzi nilihudhuria sherehe ya sendoff ya mtoto wa kigogo mmoja. Alinifurahisha sana aliwaonyesha jamaa na marafiki kizuri gharama

Wapo waliochanga mamilioni wakapewa mpaka na ndafu kadhaa kama 30

Sasa kuna group hili ndilo lilonichekesha. Wakati natoka nikashangaa mbona tuko kwenye foleni, kuangalia kwa mbele naona jamaa wana mashine za kusachi kama tuko JNIA. Hapo ni saa nane usiku.

Ghafla naona wamama, wadada kwa wababa wanarudi kwenye meza ghafla nikasema kuna nini.

Kuangalia naona watu wanambiwa kama una kinywaji mfukoni kwenye mfuko, Koti tafadhali rudi kwenye siti yako hakikisha umemaliza vyote.

Hakuna atakayeruhusiwa kuondoka na kinywaji chochote hapa getini, mimi nikapita getini nasubiri niliowaleta

Ghafla napigiwa na jamaa niliowaleta, kaka hawa washenzi wametuzuia huku kutoka na vinywaji na tumetoa laki 3 kila mtu

Hahaha nikawambia mimi sijawahi zoea sherehe za vinywaji na ma vyakula ovyo lazima mngejiongeza.

Hahaa mmoja akasema tumeweka kwenye chupa za maji wine zote tunaelekea chooni kuvimwaga

Loh mwingine akapiga kaka nimejaza Hennesy kwa chupa naelekea chooni kumwaga zote.

Kifupi, Sio tu Mlimani city halls popote pale ukienda harusini hakikisha umekula ndugu umekula kama una kinywaji kunywa

Usizoee sana misosi na vinywaji vya harusini utaaibika.
Huyo ni kigogo uchwara kama sio kigogo masikini!
 
Mkuuu mlimanicity
Sio pa kuchezea sherehe nyingi unakuta kuna kampuni imepewa kusimamia watu wanywe wale walewe washibe kuondoka na vinywaji nyooooo

Hii n sherehe ya 4 nahisi wengi hawakuwa na exp na wamevaa sare za kampuni za ulinzi weweeeeeeeeeeee....

Mwakajana jamaa yangu mmoja alitokaa na hennesy 4 mdada akamzuia nkawa nina exp nkamshikisha 10 zikapita......

Ukijipanga kupita na mzigo weka kumi.moononi alafu uwe na mifuko miwili
Mmoja weka maji na alfu 10 mwingine vinhwaji vya ukweli

Ukifika mpe mfuko wa maji wenye buku.kumi anakwambia nenda anabaki naoo

Hakikisha una pombe za gharama sio upuuzi wa savannahs flying meet sijui fish woi

.....hakikisha umeoga na majiya chumvimawe sikuhioo
unaweza kutana na kiwavimtu hata hio kumi apokei akapita na mfuko wa hela na vyupa vyakooo
Wabongo tuna matatizo ya akili aisee
 
May nikienda harusi.moja jamaa wakichanga hela nyingi tu jamaa kuona idadi ya watu wakajipanga hapa msosi jaman sijui kama utatosha tuwapitishie vinywaji mpaka saa tano kuna ambao watakuwa wamekatq tamaa wanaondoka m toka sikuhio sitaki kabisa kuingia laana za kamati za harusi

kwelii waliondoka watu wamelipa hadi lak 3 .4.5.6 achatu

nkawambia mjipange na lawama..ajabu kamati walipelekewa msosi nyuma ya ukumbi wakapiga wakashibq mapema wakanza(infact tukanza) kupitishaa vilevi kama vyote

ajabu wameogopa kugawa misosi kwa watu wameanza kugawa vimebaki vyakula naona tunaitana jaman hali ndio hii nkawajibu bora mngegawa watakapoishia isshie hapooo

woii nkaomba nkakojoeè nkaenda kuchukua mifuko 2 ya 500
Jaza nyama za mbuzi mmoja na mwingine vipande vya kuku kama vyote

Huko kwenye vnywaji ndio usiseme maana nilikuwa katibu nkasogeza gari karibu nkaenda kuchukuwa vinywaji pendwa vyangu na mke wangu tukanywa mwezi mzimaàaaaaaa

Tupendane tukiwa hai
 
Kwahy mtu amechanga maybe 100k afu unaenda kupigizana kelele kisa pombe za 20k 😂 dah
Yaaan nikiumiaaa kitu kimojaaaa

Walee wa pombe kalii hakikaa ningekuwa na wajua wangepita nazoooo

Lakini wengi unakuta wanamfuko umejaa savannahs 10
Flan fish 10
Flying meet 10
Safari takeaway 12
Za nn hizi

Beba pombe kalii za beii kubwa hata mtu akitakataa kukuteteaaaa anakuwa na nguvuu

Kiufupi angalien
Mjipange kikubwa kulen kabla ya harusi
Kunywen kabla ya harusi hata bia 2 tu nenda ndani
 
Hizi aibu ndogo ndogo zinipitie mbali kwa kweli, unaweza jikuta mitandaoni kisa juice ya embe
Wabongo tuna upumbavu mno mkuu, yn mtu yupo tayari kuumizana kichwa kisa juisi ya embe afu baadae anaenda kuikojoa, namshukuru Mungu Mm sina utajiri n masikini tuu ila sijawahi kuwa na upumbavu huo nikienda kwenye sherehe yoyote ile.
 
Yaaan nikiumiaaa kitu kimojaaaa

Walee wa pombe kalii hakikaa ningekuwa na wajua wangepita nazoooo

Lakini wengi unakuta wanamfuko umejaa savannahs 10
Flan fish 10
Flying meet 10
Safari takeaway 12
Za nn hizi

Beba pombe kalii za beii kubwa hata mtu akitakataa kukuteteaaaa anakuwa na nguvuu

Kiufupi angalien
Mjipange kikubwa kulen kabla ya harusi
Kunywen kabla ya harusi hata bia 2 tu nenda ndani
Dah aisee mm nashukuru Mungu sijawahi kuwa kwenye huu upuuzi
 
Hii sherehe ilikuwa mwanaukome panga pangua kama huna adabu ya kula na kunywa aisee unaai bike mkuu

Kila dk mc anasisitiza turudie tuchukue cinywaji

Na Mungu anakupa unachostahili ukioomaa unachotakaa anakuachiaa ukaaibike na mataayaoo yaan kama tunachukua movie za kanumba....

yaan b harusii wakikorofishana na mumewee wachukuee vid ya sendoff watacheka mpaka wahondomolane

Mpiga picha akuwa mbali na geti wala mchukuq vid wasiwasi nkahisi sherehe kubwa kama hii millardayo kakayangu ayupo kweli??
 
Wabongo tuna upumbavu mno mkuu, yn mtu yupo tayari kuumizana kichwa kisa juisi ya embe afu baadae anaenda kuikojoa, namshukuru Mungu Mm sina utajiri n masikini tuu ila sijawahi kuwa na upumbavu huo nikienda kwenye sherehe yoyote ile.
Mkuu umasikini n laana usikiriii hiloo
 
Back
Top Bottom