Send off ya mtoto wa kigogo Mlimani City imenifurahisha sana, muwe na adabu na sherehe za watu

Mkuu umasikini n laana usikiriii hiloo
namaanisha umasikini huo wa hadi kuchukua vyakula na vinywaji kwenye sherehe tena hadi kupigiana kelele Mm sina umaskini huo.
 
Hiyo ni tabia mbaya na tabia ya uchoyo ambayo si asili yetu watanzania na waafrika kiujumla. Kama mtu amekuja kujumuika nawe katika shughuli yako, na kuna chakula/vinywaji vilivyobaki kuna ubaya gani kumuachia ili akafurahie na familia yake? Tena sherehe ndiyo inanoga maana utasimuliwa kwamba watu walikula mpaka wakabeba na wengine waliopo majumbani walifurahia karamu! Sasa unawanyima na mwishowe unaenda kumwaga! Hiyo ni tabia mbaya sana, Zamani hayo mambo hayakuwepo. Ng'ombe anachinjwa pombe zinanyweka na kijiji kizima kinafurahia karamu!
 
Kumbe mkali unazijua code za pale😂
 
Sio kumwaga, kampuni inarudisha stock 🤣 wanakuwa wamepata faida wao.
 
Huyo kigogo hana adabu wala utu kwani hajui mama zetu wakienda harusini hawawezi kurudi nyumbani bila paja la kuku na soda kwenye kibobo kwa ajili ya watoto wake nao washeherekee, pia kwani hajui pia wako wa baba wa namna hiyo?
 
Feb nilienda harusi ya mtoto wa babangu mkubwa kabisa ma best
Mwenyekiti mzee wangu mdoogooo

Sasa sikujua code halisi nkajifanya kutaka kutoka na kamfuko wakakzuia
Nkapiga u turn nkakaa mezan

Nkamfwata mwemyekiti oyaa kuna mwamba kazuia mzigo wangu namwelekeza mwanakamati anagoma
AAkasema dogoo tulizammshonoo u aondoka na zaidi ya hivyo

embu kazana wananchi waondoke tukibaki chagua unachotakaaaa mkuwa nkamwelewa

Ikabidi meza iliyopoo niangalie nan hana kinywaji nikatoa mfukon nkawapa

H
Baadae kamati tukakutana hapo wapendwa wameshasachiwa kama kote mavinywaji kadhaa naviona pemben vimezuiwa nkaelewaa kuona pepo sio rahisi kama kutoka

Kamati ikajiridhisha tukafanya yetu woii niliweka vinywaji kama vyote vya weekend vya jtano maana siku zangu za off na special drinks nakunywaga

toka sikuhio nkakomaaa
 
Hennesy 4 hata 40 unaacha mlangoni😂 sababu hela yake ukiambiwa ununue hizo chupa 4 hutoboi
 
Kuliko kumwaga vinywaji chooni ni afadhali wangeacha waondoke navyo. Huyo kigogo ana umasikini ndani yake.
 
Hennesy 4 hata 40 unaacha mlangoni😂 sababu hela yake ukiambiwa ununue hizo chupa 4 hutoboi
Yaaan m diamond jubeliee mkuu nikionaaa optn ya hennesy yaan napanga majeshi mapemaaa sana

dada moja kaka moja mm mbili...naenda mapema getini naangaliaaa zombola wa kulipanga...akisema kama vipi zipitshe mapema usiisubiri wanze kuondoka naziwasha fasta kwenye gari sijawahi kusoea nawashsikisha narudi ndani....na akinihakikishia naweza tokanazo tena namshikisha nikitoka namsogelea yeye moto..siioo ujinga wa savannahs.flyn nyoko
 
Kuliko kumwaga vinywaji chooni ni afadhali wangeacha waondoke navyo. Huyo kigogo ana umasikini ndani yake.
Mwenyekiti wa kamati mkuu na wa vinywaji

M niliwashauri hao waliozifungua waachieni wakasema mtafuten jamaa mwenye shuhuli doh
 
Wabongo tuna upumbavu mno mkuu, yn mtu yupo tayari kuumizana kichwa kisa juisi ya embe afu baadae anaenda kuikojoa, namshukuru Mungu Mm sina utajiri n masikini tuu ila sijawahi kuwa na upumbavu huo nikienda kwenye sherehe yoyote ile.
Nadhani ni uroho na malezi yanachangia hizi tabia sababu mi naamini chochote unachokifanya sehem yoyote lazima kuna binadamu somewhere anakuona au mambo ya mitandao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…