Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
namaanisha umasikini huo wa hadi kuchukua vyakula na vinywaji kwenye sherehe tena hadi kupigiana kelele Mm sina umaskini huo.Mkuu umasikini n laana usikiriii hiloo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
namaanisha umasikini huo wa hadi kuchukua vyakula na vinywaji kwenye sherehe tena hadi kupigiana kelele Mm sina umaskini huo.Mkuu umasikini n laana usikiriii hiloo
Kumbe mkali unazijua code za pale😂Mkuuu mlimanicity
Sio pa kuchezea sherehe nyingi unakuta kuna kampuni imepewa kusimamia watu wanywe wale walewe washibe kuondoka na vinywaji nyooooo
Hii n sherehe ya 4 nahisi wengi hawakuwa na exp na wamevaa sare za kampuni za ulinzi weweeeeeeeeeeee....
Mwakajana jamaa yangu mmoja alitokaa na hennesy 4 mdada akamzuia nkawa nina exp nkamshikisha 10 zikapita......
Ukijipanga kupita na mzigo weka kumi.moononi alafu uwe na mifuko miwili
Mmoja weka maji na alfu 10 mwingine vinhwaji vya ukweli
Ukifika mpe mfuko wa maji wenye buku.kumi anakwambia nenda anabaki naoo
Hakikisha una pombe za gharama sio upuuzi wa savannahs flying meet sijui fish woi
.....hakikisha umeoga na majiya chumvimawe sikuhioo
unaweza kutana na kiwavimtu hata hio kumi apokei akapita na mfuko wa hela na vyupa vyakooo
Sio kumwaga, kampuni inarudisha stock 🤣 wanakuwa wamepata faida wao.Hiyo ni tabia mbaya na tabia ya uchoyo ambayo si asili yetu watanzania na waafrika kiujumla. Kama mtu amekuja kujumuika nawe katika shughuli yako, na kuna chakula/vinywaji vilivyobaki kuna ubaya gani kumuachia ili akafurahie na familia yake? Tena sherehe ndiyo inanoga maana utasimuliwa kwamba watu walikula mpaka wakabeba na wengine waliopo majumbani walifurahia karamu! Sasa unawanyima na mwishowe unaenda kumwaga! Hiyo ni tabia mbaya sana, Zamani hayo mambo hayakuwepo. Ng'ombe anachinjwa pombe zinanyweka na kijiji kizima kinafurahia karamu!
Mwnyw hapa natakiwa kuchangia harusi mbili tofauti, nitachanga ila kwenda sidhani hizo ndo mambo yangu.Mungu atupe hekima kabisaa bora hata usichange kulikoo ukaaibika
Ndiyo uchoyo wenyewe huo!Sio kumwaga, kampuni inarudisha stock 🤣 wanakuwa wamepata faida wao.
Toa tuu afu waache wakapambane na ndoa zao huko wnyw 😂Nikiwazaga maisha ya ajamaa zangu ya ndoa wanayopitia hata michango sitoii mkuu
Unataka kulewa Kamanda ?Sijawahi kuulewa mwandiko wako aisee
Hennesy 4 hata 40 unaacha mlangoni😂 sababu hela yake ukiambiwa ununue hizo chupa 4 hutoboiBINAFSI
Sio kwa niambaya
Kwenye chakula hawakutakiwa kuvirudisha kabisa no 1.anakula nani baadae
2.unaenda kuwapa wanyama ama?
3.wamechanga watu unagawa kwa wanyama
4.vinywaji sina shida navyoo maanaa kweli kuna wengine wanakuwa na mikataba vinavyobaki tunawa refund kwa kiasi kidogooooo
5.swalii languu kuuu nilijiulizaq waty wamekunywa wine nusu chupa imebaki
Wanywe nani makombooo
6..wamekunywa hennessy imebaki nusu chupa wanywe nani makombo
7 bakadi imebaki nusu chupa unazirudisha wanywe nani
8.napenda sana sherehe za diamond jubilee wakee walinzi tena wamevaa jezi kabisa za walinzi wanakuomba weka mezani ulichonachoo vile havijaguswa kufunguliwa wanaweka pemben
una vinywaji vimefunuliwaaa nenda navyooo nawaelewa sanaaaaaa........
Ingawa Nao wanahongeka sanaa tu shida mtu ana hennessy 4 hata kutoa kumi shida kisa umechanga lak 2.3 zakoo weweeee naijuaahiooo lazima lilee taaa likumulikeee huku unatoaa jamaa wa vid kakazana kukuchukua kama unamlisha keki bwana harusi
Huyo ni mama haswa handsdown. I can relate.Mimi mama angu alikua hawezi toka harusini aja niletea ata paja la kuku au soda.💥Best feeling ever sio kwamba hawezi nunua ila ni basi na sisi tuwe tume onja vya harusini
Yaaan m diamond jubeliee mkuu nikionaaa optn ya hennesy yaan napanga majeshi mapemaaa sanaHennesy 4 hata 40 unaacha mlangoni😂 sababu hela yake ukiambiwa ununue hizo chupa 4 hutoboi
Mwenyekiti wa kamati mkuu na wa vinywajiKuliko kumwaga vinywaji chooni ni afadhali wangeacha waondoke navyo. Huyo kigogo ana umasikini ndani yake.
Nadhani ni uroho na malezi yanachangia hizi tabia sababu mi naamini chochote unachokifanya sehem yoyote lazima kuna binadamu somewhere anakuona au mambo ya mitandao.Wabongo tuna upumbavu mno mkuu, yn mtu yupo tayari kuumizana kichwa kisa juisi ya embe afu baadae anaenda kuikojoa, namshukuru Mungu Mm sina utajiri n masikini tuu ila sijawahi kuwa na upumbavu huo nikienda kwenye sherehe yoyote ile.