Huo ni uchoyo uliopitiliza imagine wapo tayari wakamwage kuliko watu wanywe.Mwenyekiti wa kamati mkuu na wa vinywaji
M niliwashauri hao waliozifungua waachieni wakasema mtafuten jamaa mwenye shuhuli doh
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hapo chap unachukua unyamaYaaan m diamond jubeliee mkuu nikionaaa optn ya hennesy yaan napanga majeshi mapemaaa sana
dada moja kaka moja mm mbili...naenda mapema getini naangaliaaa zombola wa kulipanga...akisema kama vipi zipitshe mapema usiisubiri wanze kuondoka naziwasha fasta kwenye gari sijawahi kusoea nawashsikisha narudi ndani....na akinihakikishia naweza tokanazo tena namshikisha nikitoka namsogelea yeye moto..siioo ujinga wa savannahs.flyn nyoko
M nanteteea mkuuHuyo ni kigogo uchwara kama sio kigogo masikini!
Inatoa fundisho ili siku nyingine wasirudieKuliko kumwaga vinywaji chooni ni afadhali wangeacha waondoke navyo. Huyo kigogo ana umasikini ndani yake.
WatarudiaInatoa fundisho ili siku nyingine wasirudie
Kwisha habari yenu😀😀Wasambaaa na wachaga hatujuagi condom mkuu tunapaka asali kabla ya shuhulii hakuna virus inaingia
Hata mimi maza enzi hizo, kwa kinyamwezi inaitwa kuhindula.Mimi mama angu alikua hawezi toka harusini aja niletea ata paja la kuku au soda.💥Best feeling ever sio kwamba hawezi nunua ila ni basi na sisi tuwe tume onja vya harusini
Tatizo la uelewa ni kubwa sana!Kwamba hawana buku mbili mbili za kwenda kununua bia ila wana laki tatu kila mmoja ili wahonge ili waachiwe wapite na bia za buku mbili mbili?
Anyway
View attachment 3159361
Hiyo ni Roho mbaya tu!!!Ungewakumbusha tumbo hali ridhiki hata wangebeba vyote kungekucha wakatafuta tena chakula
Kama unaweza kuchanga laki mbili basi unaweza kula chochote unachotaka nje ya ukumbi kwa kununua hakuna haja ya kuiba chakula uondoke nacho
Ww jamaa unasafari ndefu bado unaulafi na ushamba sana.Chakula huwa ni kipimo kizuri cha ustaarabu.Jitahidi utafute hela uwe na uwezo wa kunywa na kula chochote na kwa kiwango chochote utakacho na uwe unatembelea sehemu tofauti tofauti na zenye hadhi tofautitofauti baada ya muda utazoea chakula na kukiona ni cha kawaida sana.Feb nilienda harusi ya mtoto wa babangu mkubwa kabisa ma best
Mwenyekiti mzee wangu mdoogooo
Sasa sikujua code halisi nkajifanya kutaka kutoka na kamfuko wakakzuia
Nkapiga u turn nkakaa mezan
Nkamfwata mwemyekiti oyaa kuna mwamba kazuia mzigo wangu namwelekeza mwanakamati anagoma
AAkasema dogoo tulizammshonoo u aondoka na zaidi ya hivyo
embu kazana wananchi waondoke tukibaki chagua unachotakaaaa mkuwa nkamwelewa
Ikabidi meza iliyopoo niangalie nan hana kinywaji nikatoa mfukon nkawapa
H
Baadae kamati tukakutana hapo wapendwa wameshasachiwa kama kote mavinywaji kadhaa naviona pemben vimezuiwa nkaelewaa kuona pepo sio rahisi kama kutoka
Kamati ikajiridhisha tukafanya yetu woii niliweka vinywaji kama vyote vya weekend vya jtano maana siku zangu za off na special drinks nakunywaga
toka sikuhio nkakomaaa
Nawaza harusini sijui kama walienda wengineHabari za asubuhi wapendwa
Leo ni siku ya Jumamosi ingawa sijachelewa na pengine una kadi za harusi kadhaa zingatia haya
Ukumbuke kadi za harusi kwenda harusini
Ukienda harusini hakikisha umekula ila usishibe
Hakikisha umekunywa ila usivimbiwe ukavimbiwe harusini
Mkiona vinywaji vingi kila aina hakikisha unakunywa unachostahili usiaibike
Ukiona chakula kila aina na mnaulizwa mwende mkarudie, Kula kinachostahili
Shetani asikuingie ukaenda nje kutafuta mfuko utaaibika.
Majuzi nilihudhuria sherehe ya sendoff ya mtoto wa kigogo mmoja. Alinifurahisha sana aliwaonyesha jamaa na marafiki kizuri gharama
Wapo waliochanga mamilioni wakapewa mpaka na ndafu kadhaa kama 30
Sasa kuna group hili ndilo lilonichekesha. Wakati natoka nikashangaa mbona tuko kwenye foleni, kuangalia kwa mbele naona jamaa wana mashine za kusachi kama tuko JNIA. Hapo ni saa nane usiku.
Ghafla naona wamama, wadada kwa wababa wanarudi kwenye meza ghafla nikasema kuna nini.
Kuangalia naona watu wanambiwa kama una kinywaji mfukoni kwenye mfuko, Koti tafadhali rudi kwenye siti yako hakikisha umemaliza vyote.
Hakuna atakayeruhusiwa kuondoka na kinywaji chochote hapa getini, mimi nikapita getini nasubiri niliowaleta
Ghafla napigiwa na jamaa niliowaleta, kaka hawa washenzi wametuzuia huku kutoka na vinywaji na tumetoa laki 3 kila mtu
Hahaha nikawambia mimi sijawahi zoea sherehe za vinywaji na ma vyakula ovyo lazima mngejiongeza.
Hahaa mmoja akasema tumeweka kwenye chupa za maji wine zote tunaelekea chooni kuvimwaga
Loh mwingine akapiga kaka nimejaza Hennesy kwa chupa naelekea chooni kumwaga zote.
Kifupi, Sio tu Mlimani city halls popote pale ukienda harusini hakikisha umekula ndugu umekula kama una kinywaji kunywa
Usizoee sana misosi na vinywaji vya harusini utaaibika.
Sidhan Kama hukuingia mikononi mwa kamati ?.Wabongo tuna upumbavu mno mkuu, yn mtu yupo tayari kuumizana kichwa kisa juisi ya embe afu baadae anaenda kuikojoa, namshukuru Mungu Mm sina utajiri n masikini tuu ila sijawahi kuwa na upumbavu huo nikienda kwenye sherehe yoyote ile.