Send off ya mtoto wa kigogo Mlimani City imenifurahisha sana, muwe na adabu na sherehe za watu

Send off ya mtoto wa kigogo Mlimani City imenifurahisha sana, muwe na adabu na sherehe za watu

Mwenyekiti wa kamati mkuu na wa vinywaji

M niliwashauri hao waliozifungua waachieni wakasema mtafuten jamaa mwenye shuhuli doh
Huo ni uchoyo uliopitiliza imagine wapo tayari wakamwage kuliko watu wanywe.
Vingekuwa havijafunguliwa labda ningeelewa.
 
Yaaan m diamond jubeliee mkuu nikionaaa optn ya hennesy yaan napanga majeshi mapemaaa sana

dada moja kaka moja mm mbili...naenda mapema getini naangaliaaa zombola wa kulipanga...akisema kama vipi zipitshe mapema usiisubiri wanze kuondoka naziwasha fasta kwenye gari sijawahi kusoea nawashsikisha narudi ndani....na akinihakikishia naweza tokanazo tena namshikisha nikitoka namsogelea yeye moto..siioo ujinga wa savannahs.flyn nyoko
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hapo chap unachukua unyama
 
Huyo ni kigogo uchwara kama sio kigogo masikini!
M nanteteea mkuu
Yeye alikabidhi madaraka kwakamatuyavinywaji

Kamati ikatafuta kampuni kulinda na kampuni ta vinywaji kusambaza mpaka walewe

Wakapewa masharti wakitoka vikaguliwe

Binafsi narudia mwenyekiti alitakiwa kuwambia vile avijafunguliwa vibaki

Sio unabakinza sanziana mtu ashakunywq nusu nzimaaa

Kvant mtu ashakunywq nusu nzima

Konyagi ashakunywa nusu nzimaa

Savanna ama wine washafunguuuq

Nkajiuliza uizi wanapeleka wapi zote

Ujinga uliopitilizaaaa kabsaaa hata kama n kuuza sijawaelewa wanaaviyzajee
 
nimewapa codes za hizi kumbii

mzielewe haya maukumbi usionee mavinywaji mapombe kama yote chakula kama yote ukajichanganya
 
ushamba,ujinga, umaskini na lack of self discipline bado ni janga katika taifa la Tanzania.

Hivi unakuwa na uwezo wa kuchanga kuanzia laki na kuendelea vipi unakuwa bado na tabia za kiswahili na ulafi ulafi wa kipumbavu,watu wazima na wenye uwezo wa kupata hizo pombe fake huko kwenye maliquor store mnaaibika kisa ujinga na umasikini.

Kama hela ya mchango inakuuma sana incase ni bora usichange msilazimishe kuonekana mnajiweza kumbe ni masikini makapuku pumbav,,their is no honour in stupidity!!!!

Acheni kufake maisha nyie maskini bora usiudhurie huko siko mahali pako,,,hizo level hujafika ni bora utulie nyumbani kwako hiyo laki tatu ununue vitu nyumbani uenjoy na familia,,,,kuliko kwenda kuaibisha kama mitoto huko sehemu za wastaarabu.

#masikini muwe mnajua level na mipaka yenu!!!!
 
Kama aliwachangisha kiingilio basi asiwapangie cha kufanya....; Nadhani ukosefu wa Adabu umeanzia kwenye kutozana viingilio; ingekuwa bure nadhani watu wangeridhika hata kwa kujumuika kupiga soga...;
 
Mimi nashauri waandaaji wa sherehe/tafrija za usiku waheshimu muda.
Si vema kulisha watu misosi usiku mwiiingi; angalau chakula kiliwe kabla ya saa 2 usiku. Hii kuchelewesha inajengea watu utamaduni wa kutaka kubeba vyakula, ingawa kwa wengine ni tabia tu!
 
Ungewakumbusha tumbo hali ridhiki hata wangebeba vyote kungekucha wakatafuta tena chakula
Kama unaweza kuchanga laki mbili basi unaweza kula chochote unachotaka nje ya ukumbi kwa kununua hakuna haja ya kuiba chakula uondoke nacho
Hiyo ni Roho mbaya tu!!!
Watu kubeba mikosi iliyobaki kwenda kuwapa wana na kutupa jalalani bora nini?
 
Feb nilienda harusi ya mtoto wa babangu mkubwa kabisa ma best
Mwenyekiti mzee wangu mdoogooo

Sasa sikujua code halisi nkajifanya kutaka kutoka na kamfuko wakakzuia
Nkapiga u turn nkakaa mezan

Nkamfwata mwemyekiti oyaa kuna mwamba kazuia mzigo wangu namwelekeza mwanakamati anagoma
AAkasema dogoo tulizammshonoo u aondoka na zaidi ya hivyo

embu kazana wananchi waondoke tukibaki chagua unachotakaaaa mkuwa nkamwelewa

Ikabidi meza iliyopoo niangalie nan hana kinywaji nikatoa mfukon nkawapa

H
Baadae kamati tukakutana hapo wapendwa wameshasachiwa kama kote mavinywaji kadhaa naviona pemben vimezuiwa nkaelewaa kuona pepo sio rahisi kama kutoka

Kamati ikajiridhisha tukafanya yetu woii niliweka vinywaji kama vyote vya weekend vya jtano maana siku zangu za off na special drinks nakunywaga

toka sikuhio nkakomaaa
Ww jamaa unasafari ndefu bado unaulafi na ushamba sana.Chakula huwa ni kipimo kizuri cha ustaarabu.Jitahidi utafute hela uwe na uwezo wa kunywa na kula chochote na kwa kiwango chochote utakacho na uwe unatembelea sehemu tofauti tofauti na zenye hadhi tofautitofauti baada ya muda utazoea chakula na kukiona ni cha kawaida sana.

Hali ya kuhusudi chakula kupitiliza huwa inaletwa na ushamba na kutokuwa na uzoefu nacho🤝
 
Habari za asubuhi wapendwa

Leo ni siku ya Jumamosi ingawa sijachelewa na pengine una kadi za harusi kadhaa zingatia haya

Ukumbuke kadi za harusi kwenda harusini

Ukienda harusini hakikisha umekula ila usishibe

Hakikisha umekunywa ila usivimbiwe ukavimbiwe harusini

Mkiona vinywaji vingi kila aina hakikisha unakunywa unachostahili usiaibike

Ukiona chakula kila aina na mnaulizwa mwende mkarudie, Kula kinachostahili

Shetani asikuingie ukaenda nje kutafuta mfuko utaaibika.

Majuzi nilihudhuria sherehe ya sendoff ya mtoto wa kigogo mmoja. Alinifurahisha sana aliwaonyesha jamaa na marafiki kizuri gharama

Wapo waliochanga mamilioni wakapewa mpaka na ndafu kadhaa kama 30

Sasa kuna group hili ndilo lilonichekesha. Wakati natoka nikashangaa mbona tuko kwenye foleni, kuangalia kwa mbele naona jamaa wana mashine za kusachi kama tuko JNIA. Hapo ni saa nane usiku.

Ghafla naona wamama, wadada kwa wababa wanarudi kwenye meza ghafla nikasema kuna nini.

Kuangalia naona watu wanambiwa kama una kinywaji mfukoni kwenye mfuko, Koti tafadhali rudi kwenye siti yako hakikisha umemaliza vyote.

Hakuna atakayeruhusiwa kuondoka na kinywaji chochote hapa getini, mimi nikapita getini nasubiri niliowaleta

Ghafla napigiwa na jamaa niliowaleta, kaka hawa washenzi wametuzuia huku kutoka na vinywaji na tumetoa laki 3 kila mtu

Hahaha nikawambia mimi sijawahi zoea sherehe za vinywaji na ma vyakula ovyo lazima mngejiongeza.

Hahaa mmoja akasema tumeweka kwenye chupa za maji wine zote tunaelekea chooni kuvimwaga

Loh mwingine akapiga kaka nimejaza Hennesy kwa chupa naelekea chooni kumwaga zote.

Kifupi, Sio tu Mlimani city halls popote pale ukienda harusini hakikisha umekula ndugu umekula kama una kinywaji kunywa

Usizoee sana misosi na vinywaji vya harusini utaaibika.
Nawaza harusini sijui kama walienda wengine
Maana baadhi ya walioalikwaa walikutana na haya naswaiba na n ndugu wa karibu wa binti wa harusi
 
Harusi za Dar bwana! Sasa mtu amechanga laki na utaratibu wa kamati kila mtu apate bia 6 akibakiza unamzuia za nini? Hongera mikoani kwa harusi nzuri!
 
Wabongo tuna upumbavu mno mkuu, yn mtu yupo tayari kuumizana kichwa kisa juisi ya embe afu baadae anaenda kuikojoa, namshukuru Mungu Mm sina utajiri n masikini tuu ila sijawahi kuwa na upumbavu huo nikienda kwenye sherehe yoyote ile.
Sidhan Kama hukuingia mikononi mwa kamati ?.
FB_IMG_17323519150655660.jpg
 
Back
Top Bottom