Chipsi yaipembeni
Senior Member
- Jan 8, 2015
- 128
- 92
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera flaviana anaolewa na nani?
Hongera flaviana anaolewa na nani?
Mi ndo kule kunanipendeza sana kuliko huku ngoja heka heka za uchaguzi zipite. Hyo sijui three .... Ndo walikua wana deshi deshi na wazungu tofauti wakiwa .....Siasa hizi mbaya sana, zimenifanya hadi ubuyu wa mujini sina siku hizi!
Haya bibie Flaviana hongera zako, vipi zile 3*** some zako utampa na mume collabo au?
Hehehehe
Hadi nilishasahau ati hongera zake na mu wish all the bestSi yule mkaka wa kichagga? Naona ushasahau wakati tulishalijadili.
Siasa hizi mbaya sana, zimenifanya hadi ubuyu wa mujini sina siku hizi!
Haya bibie Flaviana hongera zako, vipi zile 3*** some zako utampa na mume collabo au?
Hehehehe
Mi ndo kule kunanipendeza sana kuliko huku ngoja heka heka za uchaguzi zipite. Hyo sijui three .... Ndo walikua wana deshi deshi na wazungu tofauti wakiwa .....
Nisivo pendwa kupita sasa naja sasa iviHahahaaaaa, shoga nitafute pm sitaki mie kumwaga habari zake hapa.
Bwana mbona anafichwa fichwa?!