Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,258
- 10,014
Yanga, amemaliza sherehe ya kuaga Mashindano ya Losers, CAF confederation CUP. Wageni na washuhudiaji karibu milioni 60 walihudhuria sherehe ya sendoff au kuagwa kwa Yanga Mashindano ya Losers.
Harusi ni Jumamosi, Yanga wanaenda tayari wamejiandaa kuvalishwa madela au medali. Hili ni tukio la uhakika. Tuombe tu yasije yakamkuta ya Horoya Uwanja wa Mkapa. Kuna hatari ya mtu kupigwa wiki ya siku 7.
Nawatakia ushindi Yanga kinyume chake.