Taja sababu kuu 3 kwanini Waarabu/Wahindi/Wazungu wasikuite wewe Mbumbumbu nyani, sokwe, chempanzee, gorilla?Yanga, amemaliza sherehe ya kuaga mashindano ya loosers, CAF confederation CUP. Wageni na washuhudiaji karibu milioni 60 walihudhuria sherehe ya send off au kuagwa kwa Yanga mashindano ya loosers.
Harusi ni jumamosi, Yanga wanaenda tayari wamejiandaa kuvalishwa madela au medali. Hili ni tukio la uhakika. Tuombe tu yasije yakamkuta ya Horoya Uwanja wa Mkapa. Kuna hatari ya mtu kupigwa wiki ya siku 7.
Nawatakia ushindi Yanga kinyume chake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni bonge ya sherehe, unaweza sema diwali.../
Raha mustarehe, kijana wetu USM ALGER kapata kimwali.../
Sa unakosaje bwashehe, na jikoni wametenga wali.../
Ni mwendo wa makanzu kama mashehe, miss jangwani hapati kitu kwenye hii fainali.../
Sababu ya kwanza Luc, kocha wa Yanga aliwaita Yanga manyani na mkatulia kimyaaaa. Na mimi sio Yanga.Taja sababu kuu 3 kwanini Waarabu/Wahindi/Wazungu wasikuite wewe Mbumbumbu nyani, sokwe, chempanzee, gorilla?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Miss Jangwani😂😂😂😂Ni bonge ya sherehe, unaweza sema diwali.../
Raha mustarehe, kijana wetu USM ALGER kapata kimwali.../
Sa unakosaje bwashehe, na jikoni wametenga wali.../
Ni mwendo wa makanzu kama mashehe, miss jangwani hapati kitu kwenye hii fainali.../