Senegal mechi yake ya kwanza anakufa

United ya Ferguson

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2021
Posts
3,132
Reaction score
6,353
Wasenegal wanakera sana kitendo cha sadio mane kupata jeraha imekua kama wachezaji wote wamepata majeraha hii inaonesha ni jinsi gani Waafrica hatujiamini na hutanaimani na vitu tulivyonavyo.

Viongozi wamempeleka mchezaji had Kwa waganga wakienyeji lakini Ngoma hola Bayern Munich walishatoa toa Taarifa Kwa kina juu ya jeraha alilopata mane hawez kucheza kombe la Dunia lakini

viongozi wa Senegal wakapinga kabisa haiwezakani hawizekani huyu ndio mchezaji wetu tegemeo lazima acheze kombe la Dunia tutafanya Kila namna apone haya kapona Kuna kiongozi mmoja juzi wa Senegal mbona hatujumuona mane kweny msafara uliolekea Qatar kaishia kujingatangata tu na yey ndio alikua wa kwanza kutoa ahadi ya mane kucheza kombe la Dunia

Timu inawechezaji wakubwa wengi tu ambao wanaweza kuziba ilo pengo wapo kina ismail asar wapo kina dieng,wapo keita balde ,uko kweny viungo ndio usiseme wanakila aina ya mchezaji ila hawajiamini kabisa kitendo Cha kuumia mane ni kama tayari wametolea kweny michuano

Na mim nashindilia msumali kesho Netherlands hawezi Cheka na kima yoyote wale watoto kina Memphis depay,Steve bergwijn watawalaza na viatu watu Netherlands sio Zibwabwe

Timu mda wote mane mane mane mane Senegal ikiwa timu ya kwanza kutoka Africa kutolewa kweny michuano sitashangaa
 
Itabidi wakomae na wajiandae kisaikolojia mapema
 
tukio la Senegal kuifunga Netherlands ni bahati inatokea mara Moja Moja kwa miaka 20 ni kama walivyoifunga France baada ya hapo hata Japan hawawezi kuifunga, kiufupi mataifa ya ulaya yanacheza kitimu sisi na amerca tunawachezaji hatari sio team hatari. Hata kana mane angekuwepo wanaweza kufungwa ila watakosakosa sana.
 
Nimependa comment Yako inaonesha Kwa namna gani unafahamu mchezo wa mpira wa miguu kiundani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…