SENEGAL: Mtifuano wa kisiasa waendelea kati ya Sonko na Diomaye

SENEGAL: Mtifuano wa kisiasa waendelea kati ya Sonko na Diomaye

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
8,069
Reaction score
15,029
Bunge la Kitaifa la Senegal limepitisha mabadiliko ya katiba yanayopunguza madaraka ya rais na kuongeza nguvu za bunge. Marekebisho haya yaliyopendekezwa na chama tawala cha PASTEF, yamepitishwa huku kukiwa na mivutano mikubwa, kususia kwa wapinzani, na maandamano nje ya bunge.Kufuatia kura hiyo, Rais Bassirou Diomaye Faye ametangaza kuwa mabadiliko hayo yatawekwa kwenye kura ya maoni ya umma (referendum).

Nini wamefanya PASTEF chama tawala ili kupunguza madaraka ya Rais.
1. Rais aliyepo madarakani sasa haruhusiwi kuongoza chama cha kisiasa.
2. Uwezo wake wa kulivunja bunge umewekewa udhibiti mkali.
3. Kuongeza Nguvu za Bunge: Bunge sasa lina mamlaka ya kuwaita watu kwa mahojiano (akiwemo mahakimu) na lazima liarifiwe kuhusu mikataba ya rasilimali za asili.

Mbunge wa upinzani aliyetaka kura hiyo iahirishwe alitolewa nje kwa nguvu na maafisa wa usalama baada ya kukataa kuondoka jukwaani. Baada ya hapo, wabunge karibu wote wa upinzani walitoka nje kwa maandamano.
Nje ya bunge waandamanaji wa upinzani walipigwa mabomu ya machozi kuwatawanya....

NGOMA BADO MBICHI SANA SENEGAL.

1782812390781.png


=========

Senegal's National Assembly passed a bill revising the balance of power between the country's executive and parliament on Monday, prompting the president to announce a national referendum on the matter.

The bill was passed by an overwhelming majority in a tense atmosphere marked by heated exchanges and an opposition boycott.

The PASTEF party, led by President Bassirou Diomaye Faye's rival and former Prime Minister Ousmane Sonko, proposed the measure.

Faye sacked Sonko as prime minister in May and Sonko was swiftly elected speaker of the National Assembly, which is controlled by PASTEF.

Referendum

The constitutional amendment faces criticism from the opposition and various civil society organisations.

Justice Minister Moussa Sarr told parliament ahead of the bill's adoption that "the president has decided to inform the speaker of the National Assembly that he has decided... to put the adopted text to a referendum."

The text strengthens the powers of the Assembly and the prime minister while effectively curtailing those of the president.

According to PASTEF, which holds 130 of the Assembly's 165 seats, the reform aims for a "better rebalancing of powers" among the executive, legislative and judicial branches in Senegal, a country with a presidential system.

Tensions

Presidential coalition leader Aminata Toure said on Sunday during a press briefing that the proposals "appear aimed at limiting the influence of the president of the republic by increasing the powers of the head of the National Assembly."

Earlier in the day, the debate had opened with tensions openly on display.
An opposition MP, who had proposed postponing the vote and refused to leave the podium after his motion was rejected, was ultimately forcibly removed from the chamber by gendarmes.

Following the incident, all opposition MPs walked out of the hall in protest, with the exception of one.

Government opposes reforms

Meanwhile around 50 protesters, mostly from the Alliance for the Republic (APR), the party of former President Macky Sall, gathered outside the National Assembly.

They attempted to storm the building but were repelled by security forces using tear gas, AFP journalists saw.

Last week the government expressed disagreement with several aspects of the reform, arguing that it was being pursued without consultation with political stakeholders.

Under the revision, the president "will no longer be able to lead a political party or a coalition of parties."

Powers shared with prime minister

The reform also bars the president from signing certain official acts during the period between a presidential election and the inauguration of the president-elect.

And according to the text, the drafting of the government programme, which is currently the president's prerogative, will henceforth be carried out by the president "in consultation with the prime minister", who will also have authority to "make civil service appointments."

Source: TRT AFRIKA
 
Bunge la Kitaifa la Senegal limepitisha mabadiliko ya katiba yanayopunguza madaraka ya rais na kuongeza nguvu za bunge. Marekebisho haya yaliyopendekezwa na chama tawala cha PASTEF, yamepitishwa huku kukiwa na mivutano mikubwa, kususia kwa wapinzani, na maandamano nje ya bunge.Kufuatia kura hiyo, Rais Bassirou Diomaye Faye ametangaza kuwa mabadiliko hayo yatawekwa kwenye kura ya maoni ya umma (referendum).

Nini wamefanya PASTEF chama tawala ili kupunguza madaraka ya Rais.
1. Rais aliyepo madarakani sasa haruhusiwi kuongoza chama cha kisiasa.
2. Uwezo wake wa kulivunja bunge umewekewa udhibiti mkali.
3. Kuongeza Nguvu za Bunge: Bunge sasa lina mamlaka ya kuwaita watu kwa mahojiano (akiwemo mahakimu) na lazima liarifiwe kuhusu mikataba ya rasilimali za asili.

Mbunge wa upinzani aliyetaka kura hiyo iahirishwe alitolewa nje kwa nguvu na maafisa wa usalama baada ya kukataa kuondoka jukwaani. Baada ya hapo, wabunge karibu wote wa upinzani walitoka nje kwa maandamano.
Nje ya bunge waandamanaji wa upinzani walipigwa mabomu ya machozi kuwatawanya....

NGOMA BADO MBICHI SANA SENEGAL.
They’re on the right track. Utahira wa kuwa na president mwenye mamlaka ya kifalme in a republic unastahili kukomeshwa!
 
faye alikosea sana kumtoa sonko alitakiwa amtoe muhula wapili mwishoni
 
Ila sonko anaonekana Ana tamaa na akipata power anaweza kuja kuwa dikteta, wawe makini
Jamaa anataka madaraka kwa namna yoyote. Msimamo yake ni mikali sana na anaamini rasilimali za taifa zinachezewa na wafaransa.

Ila ukisimuliwa mikataba nchi zilizotawaliwa na wafaransa waliingia kabla ya kupewa uhuru unaweza pindua nchi....

Wafaransa ni wanyonyaji na mafala sana....
 
Sonko angejishusha tu, miaka 5 ni michache sana alafu angemaliza angegombea mbona ana ushawishi mkubwa tayari. Hatari nayoiona hapa wataishia kugombana na huyo Rais mpaka miaka 5 itapita na hakuna walichofanikiwa. Mwisho wa siku watakosa wote madaraka na wananchi kurudisha chama kilichopita.

Otherwise senegal itajikuta kwenye mapinduzi ya kijeshi ili kurudisha order.
 
Hivi sisi Tanzania hatuna wananchi tuko kama vile misukule
 
Ila sonko anaonekana Ana tamaa na akipata power anaweza kuja kuwa dikteta, wawe makini
Aonekane mara ngapi? Subiri aingie madarakani uone kama katiba haitobadilishwa kumpa madaraka zaidi Rais na kupunguza madaraka ya bunge.
Yale yale ya Vladimir Putin kustaafu akamuweka Medvedev, kisha Medvedev kumrudisha Putin.
 
Back
Top Bottom