T14 Armata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 13,924 Reaction score 47,173 Jun 30, 2026 #21 kina kirefu said: faye alikosea sana kumtoa sonko alitakiwa amtoe muhula wapili mwishoni Click to expand... Faye hakukosea wala Sonko hajakosea. Faye ataingia, utaona kama atataka yeye awe Rais alafu mamlaka iongozwe na mtu mwingine.
kina kirefu said: faye alikosea sana kumtoa sonko alitakiwa amtoe muhula wapili mwishoni Click to expand... Faye hakukosea wala Sonko hajakosea. Faye ataingia, utaona kama atataka yeye awe Rais alafu mamlaka iongozwe na mtu mwingine.
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 37,333 Reaction score 50,241 Jun 30, 2026 #22 Matawi ya juu said: Ila sonko anaonekana Ana tamaa na akipata power anaweza kuja kuwa dikteta, wawe makini Click to expand... Kabisa.. Atakuja hata kujiongezea Muhula wa Urais.
Matawi ya juu said: Ila sonko anaonekana Ana tamaa na akipata power anaweza kuja kuwa dikteta, wawe makini Click to expand... Kabisa.. Atakuja hata kujiongezea Muhula wa Urais.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jul 2, 2026 #23 Hatari sana... Cc: Mahondaw