SENEGAL VS ALGERIA. Predictions zikam

SENEGAL VS ALGERIA. Predictions zikam

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Team gani itashinda Afcon leo na kwa nini? Prediction yangu naona Algeria wakitandika Senegal although napenda Senegal lakini sioni wakipenya.
 
Watajua wenyewe pumbavu zao, hamna timu yetu yoyote hapo, atakayeshinda na ashinde tu wafurahie huko aidha Magharibi au Kaskazini mwa Afrika. Huku Mashariki, Kusini na kati ya Afrika tuliondolewa wote kwa kipigo cha mwizi, hata namba mbili wala tatu hatupati....hehehe noma sana.
 
Team gani itashinda Afcon leo na kwa nini? Prediction yangu naona Algeria wakitandika Senegal although napenda Senegal lakini sioni wakipenya.
Dkk 90
1-1
Ht 0-0/ft 1-1

Extra time algeria win

Total 120' 1-2
 
Game Itakwenda Dakika 120 Ndani
Mshindi Ndiyo Atapatikana Senegal Kupitia Diatta
 
Back
Top Bottom