Senegal wameuza mechi nini: Sioni wakipambana!

Senegal wameuza mechi nini: Sioni wakipambana!

Taka usitake uingereza wana vipaji na kiwango kizuri kuliko timu zote za Africa
 
Kufungwa siyo hoja, bali hoja ni kuwa sioni roho ya upambanaji tuliyoizoea! Sitashangaa kama watakuwa wamevuta kitu kidogo toka kwa uingereza!
Ushabiki wa namna hii huwa siupendi kabisa...inamaana England haiwezi kushinda kwa Senegal hadi inunue ushindi? Watu kama wewe sijui huwa mnaweka wapi akili hadi mnakuwa hamzitumii.
 
Hilo neno kuuza mechi toka mlisikie basi mnataka kuliingiza kila sehemu ionekane mechi imeuzwa😄

Kama unafwatilia mpira vizuri nadhani ilikua inajulikana tu kua mwisho wa Senegal umefika.
 
Senegal hawana uwezo na mbinu ya kuwafunga England timu, imesheheni nyota wa Timu kubwa kubwa za nchini kwao...
Pia Wakoloni wamewatangulia makoloni yao kiakili na kimaendeleo toka zama na zama.

Waafrika hatuwezi kufanana na wazungu kimaamuzi na kiakili fikiria hiyo senegal imesheheni wachezaji waliozaliwa na kukulia Ufaransa na nchi zingine za ulaya lakini bado uafrika unawavuta jezi...je? Wangeenda kina shomari Kibwana waliokulia viazi vya kuchemsha na uji wangekuwaje ndugu yangu hapo hamna kuuza mechi ...mzungu sio sawa na muafrika kwenye mambo ya kidunia.
 
Mpira una vipindi viwili.

Team ikiwa na mpira na

Team ikiwa haimiliki mpira

Senegal na team zote za Africa hazijui kucheza pindi zinapokuwa na mpira au zinapo pokonywa mpira hawajui ku create space wala kukaba nafasi magoli yote yametokana na kukaba mtu badala ya kuziba open space na kocha mmoja alishawahi kusema hili wakati wa kombe la dunia Africa kusini.
 
Kufungwa siyo hoja, bali hoja ni kuwa sioni roho ya upambanaji tuliyoizoea! Sitashangaa kama watakuwa wamevuta kitu kidogo toka kwa uingereza!
Walipanda mtumbwi wa vibwengo mneso kama wote, hovyo hawakuwa na urgency na intensity yoyote, game mbovu Kwa Senegal ever and ever, extremely poor, wecheza kama wao ndio wanaongoza
 
Bila shaka mleta mada ni shabiki wa simba a.k.a Makolo.

Hao vilaza ndio huwa wanaamini kila anaeshinda amenunua mechi!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Bila shaka mleta mada ni shabiki wa simba a.k.a Makolo.

Hao vilaza ndio huwa wanaamini kila anaeshinda amenunua mechi!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mimi ni mwananchi mwenzenu tuliozoea mchezo wa bahasha japo ihefu katuweza!
 
Simba hivi vichwa vyenu vinafanya kazi gani?Hamuamini kabsa katika kupambana?Mnawaza biashara tu?
Madawa yanavuruga akili. Hivyo unatakiwa uwasamehe tu. Wakishinda wao, huwezi kuwasikia wakileta hizo porojo.
 
Kufungwa siyo hoja, bali hoja ni kuwa sioni roho ya upambanaji tuliyoizoea! Sitashangaa kama watakuwa wamevuta kitu kidogo toka kwa uingereza!

Tayari mmeanza! Ndio yalee ya brazil mara oh wamepuliziwa dawa, bongo tutasikia mengi 😄😄 siwapendi England lakini niseme tuu senegal wamezidiwa, hapa ni morocco tu ndie hatatuangusha
 
Back
Top Bottom