Senegal wameuza mechi nini: Sioni wakipambana!

Senegal wameuza mechi nini: Sioni wakipambana!

Kwa ukubwa wa taifa la Uingereza wafanye ujinga kama huo, tena kwa Senegal?.
 
Akili akili akili.

England waliwazidi maarifa Senegal, magoli yote waliyopigwa ni akili tu, wala sio miguvu kama waliyokua wanatumia Senegal.
England walikua wanagusa na kusepa tu .
 
Hivi ni sisi tu ndio tuna huu ushoboko wa kushangilia nchi zingine za kiafrika
Sasa morroco sio waarabu tena ni waafrika?
Mnaija wala Mcameroon hata siku moja hawashangilii nchi za kiafrika
Kama nchi yako haishiriki kaa kwa kutulia.
Angalia mpira..
 
Back
Top Bottom