Ulitegemea Senegal atamfunga uingereza? Tena hatua ya mtoano?
Hv kuna ulazima ukiwa mwafrika ushabikie timu ya afrika,???mi nashabikia france na england
Hahaaa, bora tushabikie morocco, wanapira la ulaya [emoji1]
Hawajakutana na england mtawasahau
Ndo madawa wavute mashabiki wote nchi nzma?Madawa yanavuruga akili. Hivyo unatakiwa uwasamehe tu. Wakishinda wao, huwezi kuwasikia wakileta hizo porojo.
Ni wachache tu ndiyo wanaotumia.Ndo madawa wavute mashabiki wote nchi nzma?