Senene

Senene

Kibukuasili

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2010
Posts
1,053
Reaction score
615
hawa wadudu wanauzwa sana njiani dsm. Wana faida gani kiafya?
 
Tatizo utamu jombaa,tena wanaongeza mafuta mwilini na hatimaye kuupa mwili joto na kinga,tena wanavutia pale uwakaangapo hasa watoapo yale mafuta yao ya kwenye abdomen part.HAKIKA UGALI KWA SENENE NAUPENDA JAPO KUWA MI SIO MUHAYA.
 
Back
Top Bottom