Seneta Nairobi amtaka Ruto aachane na msamaha wa kinafiki, achukue hatua kali dhidi ya Tanzania

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ataka Kenya ichukue hatua kali dhidi ya Tanzania kufuatia madai ya utesaji wa wanaharakati

Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, ametaka serikali ya Kenya ichukue hatua za kisasi dhidi ya Tanzania kufuatia madai ya mateso na ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya wanaharakati Boniface Mwangi (Kenya) na Agather Atuhaire (Uganda).

Kupitia mitandao ya kijamii, Sifuna ameitaka serikali ya Kenya kupiga marufuku viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), chama tawala cha Tanzania, kuingia nchini Kenya.

Ameongeza kuwa serikali ya Rais William Ruto inapaswa kuhamisha Mkutano wa Mwaka wa Jumuiya ya Wanasheria Afrika Mashariki (EALS) kutoka Zanzibar — tukio linalowakutanisha zaidi ya wanasheria 800 kutoka Afrika Mashariki kwa ajili ya majadiliano ya kitaaluma, mtandao wa kibiashara na kupata mwelekeo wa taaluma hiyo.

Sifuna pia amesema hatua nyingine inayopaswa kuchukuliwa ni Kenya kujiondoa katika mipango ya pamoja ya kuandaa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 pamoja na Tanzania na Uganda — tukio kubwa linalotarajiwa kufanyika kwa ushirikiano wa mataifa hayo matatu.

Kwa mujibu wa Sifuna, hatua ya mwisho kabisa inapaswa kuwa Rais William Ruto kufuta kauli yake ya kuomba msamaha na badala yake kuitaka Tanzania iombe msamaha kwa yaliyotokea.

Wakati wa Maombi ya Kitaifa yaliyofanyika Mei 28, 2025, Rais Ruto aliomba msamaha kwa majirani wa Kenya, akisema:
"Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa namna yoyote ile, mtusamehe. Marafiki wetu kutoka Uganda, kama kuna jambo lolote Wakenya wamefanya lisilo sahihi, tunaomba msamaha."

Kauli ya Sifuna imekuja wakati mashirika ya haki za binadamu yakiendelea kushinikiza serikali za Kenya na Uganda kuwajibika kuhusu tukio hilo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Amnesty International, Houghton Irungu, alisema:
"Tunaamini kuwa muswada wa mwananchi binafsi katika nchi hizi mbili unaweza kulazimisha Wizara za Mambo ya Nje kueleza mbele ya mabunge ya kitaifa ni hatua zipi zilichukuliwa kuwalinda Boniface na Agather, na pia kueleza hatua zitakazochukuliwa dhidi ya vitendo vya kutisha vilivyodaiwa kutokea."

Screenshot 2025-06-04 000138.png
 
Ndiooooooooooo
KAZI ni kipimo cha utu
 
Hv africa mashariki kenya nayo inaweza kujitutumua kupga marufuku ya jambo?
Uganda akigoma tutawaza lakn si kenya aisee, labda wauza mirungi ndo watapata shida..
 
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ataka Kenya ichukue hatua kali dhidi ya Tanzania kufuatia madai ya utesaji wa wanaharakati

Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, ametaka serikali ya Kenya ichukue hatua za kisasi dhidi ya Tanzania kufuatia madai ya mateso na ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya wanaharakati Boniface Mwangi (Kenya) na Agather Atuhaire (Uganda).

Kupitia mitandao ya kijamii, Sifuna ameitaka serikali ya Kenya kupiga marufuku viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), chama tawala cha Tanzania, kuingia nchini Kenya.

Ameongeza kuwa serikali ya Rais William Ruto inapaswa kuhamisha Mkutano wa Mwaka wa Jumuiya ya Wanasheria Afrika Mashariki (EALS) kutoka Zanzibar — tukio linalowakutanisha zaidi ya wanasheria 800 kutoka Afrika Mashariki kwa ajili ya majadiliano ya kitaaluma, mtandao wa kibiashara na kupata mwelekeo wa taaluma hiyo.

Sifuna pia amesema hatua nyingine inayopaswa kuchukuliwa ni Kenya kujiondoa katika mipango ya pamoja ya kuandaa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 pamoja na Tanzania na Uganda — tukio kubwa linalotarajiwa kufanyika kwa ushirikiano wa mataifa hayo matatu.

Kwa mujibu wa Sifuna, hatua ya mwisho kabisa inapaswa kuwa Rais William Ruto kufuta kauli yake ya kuomba msamaha na badala yake kuitaka Tanzania iombe msamaha kwa yaliyotokea.

Wakati wa Maombi ya Kitaifa yaliyofanyika Mei 28, 2025, Rais Ruto aliomba msamaha kwa majirani wa Kenya, akisema:
"Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa namna yoyote ile, mtusamehe. Marafiki wetu kutoka Uganda, kama kuna jambo lolote Wakenya wamefanya lisilo sahihi, tunaomba msamaha."

Kauli ya Sifuna imekuja wakati mashirika ya haki za binadamu yakiendelea kushinikiza serikali za Kenya na Uganda kuwajibika kuhusu tukio hilo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Amnesty International, Houghton Irungu, alisema:
"Tunaamini kuwa muswada wa mwananchi binafsi katika nchi hizi mbili unaweza kulazimisha Wizara za Mambo ya Nje kueleza mbele ya mabunge ya kitaifa ni hatua zipi zilichukuliwa kuwalinda Boniface na Agather, na pia kueleza hatua zitakazochukuliwa dhidi ya vitendo vya kutisha vilivyodaiwa kutokea."

View attachment 3355163
Bangi inamsumbuaga sana huyu.
 
Economy of Kenya is bigger than the economy of Tanzania and Uganda combined
Nje ya nairobi, kisumu na mombasa, unayajua maisha ya wakenya?
Nimezunguka sana kenya, uganda..lakn maisha ya wakenya ya kushindia sukuma wiki n hatari..
Hapo hapo nairobi nje kdogo kuna majanga..
Hv ni wapi wanalima? Wana rasilimali gani? Wana nini yaani?
Waamby wengne wasiowajua wakenya na kenya yao..kutoka ninapoishi had kuingia kenya, kwa mguu hata dk 20 haifiki.. Tuache kudanganyana
 
Nina uhakika hata kwa mpaka wa Kenya hujakanyaga.
 
Assume tufunge mwezi tu! Alafu kama atakaa Nairobi huyu paka shume.
Kuanzia kukosekana chakula, inflation, unemployment,mdororo wa kiuchumi NK vitawatafuna mpaka mwisho.

Ruto is diplomatic genius. Wapuuzi wachache hawawezi kuwagharimu Wakenya wengi.
 
Hapa nlipo hata sasaiv nikisimama sehemu iliyoinuka, naiona kenya!
Yaani ni sawa na kule dsm, mtu yupo mlimani udsm pale anapaona posta
Umeongea kama mtu ambaye haijui Kenya. Nina uhakika hujawai kanyaga Kenya.
 
Assume tufunge mwezi tu! Alafu kama atakaa Nairobi huyu paka shume.
Kuanzia kukosekana chakula, inflation, unemployment,mdororo wa kiuchumi NK vitawatafuna mpaka mwisho.

Ruto is diplomatic genius. Wapuuzi wachache hawawezi kuwagharimu Wakenya wengi.
Kwa hivo nyie ndio mnaotuandika kazi? Nyie ndio mnaotuendeshea uchumi? Inflation iko juu kwenu kuliko kwetu alafu iweje sasa nyie ndio mnaotusaidia kwa hilo? Huwa mnaongea kama watu wasioelimika
 
We mtumwa wa mwangi, we si unajifanya umeelimika?
Tanzania unemployment rate ni 2.61% AND inflation rate is 3.3% hadi kufikia may 2025..
kenya unemployment rate ni 5.68% and inflation rate ni 3.68% hadi kufikia may 2025.
sasa nyie wa kufirwa kwa uongo, hadi nani ana unafuu? na hapo kuna vyakula vingi sana vinatoka tanzania kuingia kenya, kuna wakenya wengi wapo maporini humo na kwenye mahotel..tunawafichia aibu halafu mnaleta ufirwaji hapa?
TUAMUE TU WIKI 2 TU KILA MTU ABAKI NA CHA KWAKE TUONE?
 
Sasa uhusiano wetu na nyinyi unasaidia aje unemployment? Ndio maana nakwambia hujaelimika.
Kuhusu vyakula, vinaingia bure ama tunavinunua? Hivi muuzaji na mnunuzi nani bosi? Kwa hivo unadhani mkikataakutuuzia tutakosa pa kununua hadi tufe njaa? Huoni kwamba mpaka ukifungwa wauzaji ndio huumia? Ndio maana nakuita uneducated.
 
Wewe educated wa kupakwa mafuta kwenye rectum, umesoma vizuri takwimu?
Au unakaza fuvu kuwa educated?
Unajua ni wakenya wangapi wapo tanzania wameajiriwa na kujiajiri?
HV UNAJUA UNACHOKIFANYA AU UNAWAZA TU MAMBO YA RECTUM
 
Na ni watanzania wangapi wako Kenya wameajiriwa na Kujiajiri na wengine ombaomba? Tuweke takwimu?
 
DUH!!
Mabishano yenu ni ya watoto wa class 1.

Mara uchumi mara Nairobi Vs Dar. Kwanini sioni mkiongea mambo ya TZ shilling Vs Kenya shilling???
 
Back
Top Bottom