johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
hapana,mlimani ana Havana karibu 16 ,hawa wengine nao kashawapata ...ruto ajiandae ama awe makanga ,riggy J 2027 urais wakeHii imeenda
Pesa inatembeaRiggy yupo saaaan
Sio pesa…there is no Tangible evidence ya kumfanya aaachie madarakaPesa inatembea
Senate iko matured sana …. Sidhan kama watamtoa kwa stor za kufikirika.Impeachment ni political process sio criminal.
Senators hawahitaji kufanya kama mahakama za jinai.... wanaweza kumtoa hata kama mashtaka hayathibitika
Politics ni politics.... kama asipotakiwa atatolewa. Hizi facts sio mpya, wanafahamu kama ana kosa au hana.Senate iko matured sana …. Sidhan kama watamtoa kwa stor za kufikirika.
Atafute maseneta 23,amwage mkwanjaBilionea Gachagua atamwaga pesa seneti nzima
Money from MortuaryAtafute maseneta 23,amwage mkwanja
Umeongea point. Senate hailazimiki kuwa na ushahidi kama MahakamaImpeachment ni political process sio criminal.
Senators hawahitaji kufanya kama mahakama za jinai.... wanaweza kumtoa hata kama mashtaka hayathibitika
Maigizo ya kuua soo yameanza.Atafute maseneta 23,amwage mkwanja
Hii ni vote of no confidence, hakuna mambo ya ushahidi kuthibitika... ndio ashaliwa kichwaUmeongea point. Senate hailazimiki kuwa na ushahidi kama Mahakama