Seneti linahitaji Kura 45 kumng'oa Gachagua ilhali Gachagua anahitaji Kura 23 kubakia madarakani, Jumla ya Wapiga Kura ni 67

Seneti linahitaji Kura 45 kumng'oa Gachagua ilhali Gachagua anahitaji Kura 23 kubakia madarakani, Jumla ya Wapiga Kura ni 67

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wale wapenzi wa Katiba Mpya mnaweza kufuatilia impeachment ya Naibu Rais mh Gachagua

Mtajifunza mengi mazuri na madhaifu pia

Maseneta bado wamejifungia Kwenye kikao cha faragha ambacho kimeshindwa kukamilika Kwa muda uliopangwa

DP Gachagua na Timu ya mawakili wake wakiwemo wa Kutoka hapa bongo tayari wako Ukumbini wakisubiri kutoa utetezi

Fuatilia kupitia Citizen TV
 
Bilionea Gachagua atamwaga pesa seneti nzima
 
John
nilikuambia riggy j akienda mtaani unalaki hapa ,mkale na mchungaji msigwa MSOSI pale nyuma ya duka la kaundama mgahawa uko Chocho ila vigogo wa iringa wanakula pale
 
Ajiondoe mapema.. mwamba kaharibu na hawezi kaa meza moja tena na Ruto.
 
Kama anataka kugombea 2027 definitely anatakiwa kuwa na baadhi ya senotors wanao muunga mkono vinginevyi ata 2027 asijisumbue.
 
Impeachment ni political process sio criminal.

Senators hawahitaji kufanya kama mahakama za jinai.... wanaweza kumtoa hata kama mashtaka hayathibitika
 
Impeachment ni political process sio criminal.

Senators hawahitaji kufanya kama mahakama za jinai.... wanaweza kumtoa hata kama mashtaka hayathibitika
Senate iko matured sana …. Sidhan kama watamtoa kwa stor za kufikirika.
 
Impeachment ni political process sio criminal.

Senators hawahitaji kufanya kama mahakama za jinai.... wanaweza kumtoa hata kama mashtaka hayathibitika
Umeongea point. Senate hailazimiki kuwa na ushahidi kama Mahakama
 
Atafute maseneta 23,amwage mkwanja
Maigizo ya kuua soo yameanza.

Saa9 jamaa kakimbizwa hosipitali kwa madai ya kusumbuliwa na maumivu ya kifua na kisha kalazwa.

Seneti imedai haiwezi kuendeleza shauri ama kutoa hukumu bila ya mhusika kuwepo huku akiwa mgonjwa kalazwa.

Ngoma imeahirishwa kuchezwa hadi Jumamosi.
 
Back
Top Bottom