Wale wapenzi wa Katiba Mpya mnaweza kufuatilia impeachment ya Naibu Rais mh Gachagua
Mtajifunza mengi mazuri na madhaifu pia
Maseneta bado wamejifungia Kwenye kikao cha faragha ambacho kimeshindwa kukamilika Kwa muda uliopangwa
DP Gachagua na Timu ya mawakili wake wakiwemo wa Kutoka hapa bongo tayari wako Ukumbini wakisubiri kutoa utetezi
Fuatilia kupitia Citizen TV