Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, mbona 45+23 haileti 67?Wale wapenzi wa Katiba Mpya mnaweza kufuatilia impeachment ya Naibu Rais mh Gachagua
Mtajifunza mengi mazuri na madhaifu pia
Maseneta bado wamejifungia Kwenye kikao cha faragha ambacho kimeshindwa kukamilika Kwa muda uliopangwa
DP Gachagua na Timu ya mawakili wake wakiwemo wa Kutoka hapa bongo tayari wako Ukumbini wakisubiri kutoa utetezi
Fuatilia kupitia Citizen TV
Ni kwa sababu hakunaga Nusu Mtu 😂Mkuu, mbona 45+23 haileti 67?
Fuatilia Ktn news.Ashaondolewa ulinzi hospital mkuu inaonekana Kura za kumuondoa zimetosha..