Marais madikteta hupenda sana kujilinda kupitoa sheria kwa hofu kuwa wakitoka madarakani watashtakiwa. Na hapa kwetu, ewekwa shsria ya kulinda uovu wa Rais kuwa hawezi kushtakiwa awapo madarakani au akiwa ameondoma madarakani.
Hizi sheria zinazokiuka sheria mama inayotamka kuwa wananchi wote ni sawa mbele ya sheria, zinaweza kumfanya rais kufanya mambo ya ajabu, kama tunavyosbuhudia sasa, ba ya hofu ya kushhtakiwa sasa na huko mbeleni.
Sasa DRC imeonesha njia, Bunge limefuta kinga ya kutoshtakiwa kw Rais mstaafu Joseph Kabila, na sasa jeshi linaanza kumchunguza, wakipata uthibitisho wa jinai, atafikisha mahakamani.
Hii ina maana, pamoja na kujilinda na sheria bandia, siku bunge likiwa na wabunge wa kaeli, tutaweza nasi kumfutia kinga, na akapelekwa mbele ya vyombo vya sheria kujibu mashtaka ya kumiliki kikundi cha utekaji na mauaji.
Habari Yenyewe Hii Hapa Chini:
DR Congo strips ex-leader of immunity over treason charges:
- Emery Makumeno
- Role,BBC News, Kinshasa
- 23 May 2025
The Democratic Republic of Congo's senate has stripped former President Joseph Kabila of his immunity, paving the way for his prosecution over his alleged backing of rebels in the east.
Authorities have accused him of treason and war crimes, saying
there was a "substantial body of documents, testimony and material facts" linking Kabila to the M23 armed group, which has taken control of several towns in the mineral-rich east.
Kabila, 53, has not commented on the accusations but has in the past denied any connection with the insurgents.
Nearly 90 senators on Thursday voted in favour of his treason prosecution, while five opposed it.