BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Watu wanatakiwa kushikishwa adabuLazima wajadili, huwezi fanya Jaribio la kumuua KITIMA, na Papa wa Sasa katokea Marekan, alafu Trump akae kimya??.
Na walivyo wapuuzi, mtuhumiwa wao walomkamata ukifika usiku ,wanamrudisha kwake kulala
Mda utaongea acha shoboZa ndaaaaaaani kabisa... Vipi huyo mpenyezaji wako naye ni mjumbe wa sennet au yuko mbagala?
uropokaji ni kazi rahisi sana gentleman,Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.
Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.
Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.
Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Mnahisi raisi hana mahamuzi hadi ashauriwe??Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.
Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.
Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.
Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Heri wapoteane, wapotee na kuteketea aaminKuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.
Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.
Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.
Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Nilisikia kuwa tumekataa msaada wao sababu ya hayo matatizo yao uliyoyasemauropokaji ni kazi rahisi sana gentleman,
yaani pamoja na matatizo yake yote iliyonayo marekani, iache kushughulikia wananchi wake ibabaike na Tz,
hiyo si nonsense kabisa aise 🐒