Tetesi: Seneti ya Marekani itajadili hali ya Kisiasa Tanzania wakati wowote mwezi huu, hapa CCM lazima wapoteane

Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.

Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.

Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.

Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Wache wajadili kama nchi imefika hapa kwamba ukiwa CCM ni first class citizen na ukiwa chadema ni second class ambaye unaweza kuuwawa na kutupwa kama mzoga wa mbwa na kuliwa na mamba au fisi na waliomadarakani wakaona ni kitu normal tu!
 
Mambo ya Tanzania hayaamuliwa Marekani wala Umoja wa Ulaya. Ni vikao vya kuhalalisha kula posho za taasisi zao tu. Nothing significant, kitakachobadilika. Tanzania ni nchi huru na yenye amani. Na tutaendelea kulinda amani ya nchi hii.Magenge ya mamluki yajipange upya.
Aisee wewe bado Sana .ngoja Kwanza EU WA vote. Hili sebene kizimkazi anakwenda kulicheza
 
Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.

Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.

Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.

Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Hizi ndo habari mnazoshindia kutwa kucha. Lakini msisahau siku zinasonga tu tahamaki 2030 hii hapa na hakuna kilichobadilika
 
Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Umeandika vizuri ila umekuja kuharibu mwishoni ,huyu hashauriwi na mtu,ni ajenda zake za kutaka kuivuruga amani ya Tanganyika baadae yeye akimbilie Oman kwa wajomba zake,

Kuna athari kubwa sana kama taifa kuongozwa na mtu ambaye si raia wa Tanganyika
 
Lazima wajadili, huwezi fanya Jaribio la kumuua KITIMA, na Papa wa Sasa katokea Marekan, alafu Trump akae kimya??.

Na walivyo wapuuzi, mtuhumiwa wao walomkamata ukifika usiku ,wanamrudisha kwake kulala
Basi mnaliwazaaaana wenyewe mshasahau hata habari ya kukinukisha sasa hivi mnawawaza wazungu tu tena mnawaita Malaika wenu. Mnaomba kabisa eti Mungu Wabariki Wazungu
 
Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.

Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.

Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.

Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Kwani Marekani bado wanafadhili?
 
Tajiri atamjadili masikini
Hivi hatujifunzi tu na hawa watu?
Kama wana maslahi na wewe hata uchinje watu kama Saudia bado utaheshimika tu kama MbS

Mtasubiri sana wazungu wabadili hali ya nchi masikini, labda ukatae masharti yao tu
 
Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.

Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.

Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.

Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Uganda wameifanya nini mpaka sasa?
 
Hili suala sisi tungeamua wenyewe
 
Mambo ya Tanzania hayaamuliwa Marekani wala Umoja wa Ulaya. Ni vikao vya kuhalalisha kula posho za taasisi zao tu. Nothing significant, kitakachobadilika. Tanzania ni nchi huru na yenye amani. Na tutaendelea kulinda amani ya nchi hii.Magenge ya mamluki yajipange upya.
Eti Tanzania ni Nchi huru wakati hadi nguo za ndani mlizovaa zinatoka huko huko, sisi hatuna akili hata za kutengeneza njiti ya kuchokonolea meno.
 
inabidi wananchi watetewe na mabunge ya nje kama wao hawajitetei kwa hofu ya kushughulikiwa
Ipo wazi kwamba wananchi wanakuwa kimya kwa kuhofia usalama wao tokana na vyombo vya dola kutumika kisiasa.

Hivyo kwa wananchi kupaza sauti pia italeta umoja na nguvu zaidi, hi itapelekea mahakama umoja wa mataifa , washirika na wadau mbali mbali wa haki za binadamu n.k kuzidi kuiangalia Tanzania...
 
Back
Top Bottom