Tetesi: Seneti ya Marekani itajadili hali ya Kisiasa Tanzania wakati wowote mwezi huu, hapa CCM lazima wapoteane

Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.

Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.

Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.

Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.

Who cares.
 
Lazima wajadili, huwezi fanya Jaribio la kumuua KITIMA, na Papa wa Sasa katokea Marekan, alafu Trump akae kimya??.

Na walivyo wapuuzi, mtuhumiwa wao walomkamata ukifika usiku ,wanamrudisha kwake kulala
Kwa hivyo Kitima ananguvu ktk nchi hii? Dah?
 
Lissu ni sauti ya Mungu... Lissu ndiye mpinzani wa kweli tangu uasisi wa vyama vingi vya siasa 1992 katika nchi yetu.
.
Muda wote huo tulikuwa tunahangaika tu.

Kama hakuna Mabadiliko ya Sheria za uchaguzi - Uchaguzi huu wa October HAUPO.

Hutaki basi twende wote CHAUMA.
Laana hii, yaani unamuhusisha Mungu na vitu vya kijinga?!!!!
 
Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.

Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.

Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.

Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
CCM WASITAKE KUTUDANGANYA TENA.. WAONDIO SEREKALI NA MPAKA SASA BUNGE LAO.. WANAUWEZO WAKUBALI MWENENDO ILA WANAKAZA VICHWA
 
Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.

Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.

Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.

Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Unakuta mtu anakuambia hao wanatuingilia mambo yetu🤣mambo yenu ni yapi? hizo kauli wakubwa wanaongea kuwapa mihemko wananchi??.. TUNAPASWA KUJUA HIVI KAMA BUNGE LETU LINGESEMA NA KUPIGANIA TUNDU LISSU AACHILIWE BAS BUNGE LA EU LISINGESEMA AMA TUNAHISI TUNDU LISSU HANA CONNECTION HAPA DUNIANI
 
Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.

Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.

Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.

Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
TANZANIA IS A SOVEREIGN STATE,

OVER

JIWE ALIWEKEWA VIKWAZO HADI MAKONDA NA BADO YUPO
 
Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.

Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.

Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.

Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Wengi hawajui sababu ni Gan Euro 1 ni Elfu3 na cent angali Dollar Ni elfu2 na America ndio powerful country.... Long story short, We are subservient To European Nations more than America Nation...hamna cha ushoga wala undezi wala Uswahili... mbona hatuongei kipindi tunaomba mikopo na kutengenezewa umeme.... wanatafuta wapi pakuwafunga akili wananchi... Aliesema Wanatuletea ushoga hakuongea kwa Lugha Ya EU ni kufunga Motaa Wananchii Tu
 
Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.

Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.

Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.

Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
 
Lazima wajadili, huwezi fanya Jaribio la kumuua KITIMA, na Papa wa Sasa katokea Marekan, alafu Trump akae kimya??.

Na walivyo wapuuzi, mtuhumiwa wao walomkamata ukifika usiku ,wanamrudisha kwake kulala
Utaumia wewe kwa maisha magumu na si viongozi wa nchi
 
Lazima wajadili, huwezi fanya Jaribio la kumuua KITIMA, na Papa wa Sasa katokea Marekan, alafu Trump akae kimya??.

Na walivyo wapuuzi, mtuhumiwa wao walomkamata ukifika usiku ,wanamrudisha kwake kulala

Ukifanya Simple Intelligence Analysis, utagundua kwamba Mtu huyo aliyetoa Vitisho dhidi ya Fr. Dkt. Kitima ni mtu ambaye alipangiwa kazi Maalumu ya kumfuatilia kwa undani zaidi Dkt. Kitima kwa lengo la kumuua (assassination). Huyo ni Masterminder (Chief Assassin & the Master Planner) wa Mpango wote kabisa wa kutaka kumuua huyo Padre Kitima.
 
Back
Top Bottom