Tetesi: Seneti ya Marekani itajadili hali ya Kisiasa Tanzania wakati wowote mwezi huu, hapa CCM lazima wapoteane

Seneti waache kudeal na shida zao huko kibao waanze kujadili upuuzi wa viongozi wa Africa.
Mkishiba maharage mnawazaga maharage tu
Hufahamu kazi za seneti ya Marekani, hili ni bunge la juu ya bunge la wawakilishi HORs

Moja ya majukumu yao ni kupitisha au kukataa mikataba yote ni serikali za kigeni, "Senate must consent to all treaties with foreign governments"

Hivyo basi, kwa mapendekezo ya baraza la mahusiano ya nje au "council of foreign relations", waweza kuamua chochote.
 
Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.

Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.

Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.

Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Hata vikao vingejadiliwa na Mwenyekiti awe PAPA hakuna kibaraka atapewa nafasi ya kupumua.

Kwani unahisi wakajadili Tanzania ndio itakuaje labda?
 
Time to, Waziri wetu anyanyuke aende akawaeleze hali halisi iliyopo, vitisho ambavyo nchi inatishiwa kiusalama, as you know Africa ni Africa, na waafrica ni wale wale, serekali haina baya na chama chochote, ispokuwa inadadisi kauli za kivhochezi hatarishi kwa usalama wa taifa la Tanzania, facts matter!,, kwa nini mpaka sasa kauli zile mbaya sana, hazija fanyiwa kazi ya kuwa translated in English ili waone what was, and why tz do so! Tz polisi are on duty on those who claimed to be taken by hooligans bout where are they!
# simple case!
That's what they were supposed to do, respond to statements and give explanations so the public will understand the facts.

The fact remain that the lorries were observed carrying tones and tones of coal and they were all heading to the port, was the tax paid?, whom they belong to? and so forth.

By the way, who are these hooligans, where are they coming from, somewhere in the forest?, who are they?, who sponsor them, what are their nationalities the answers must be provided by the police.

Politics is not supposed to bring to animosity, is about being humble and accept criticism and make amendments, then move on.

Politics should not allow animosity which we are witnessing at this moment.
 
Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.

Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.

Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.

Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.

Tukiwekewa vikwazo tutaumia sana lakini lazima tuvumilie, kama hiyo ndiyo njia pekee ambayo watawala wadhulumu haki wa Tanzania itawafanya wasikie na kutambua kuwa kudhulumu haki za watu ni ushetani.
 
Saying Tanzania is a sovereign state is the statement of intent to hide the fact that a country can descend into rogue state and not sovereign state.
soverign state ufanye mambo ya hovyo uachwe tu? Wafadhili watakunangananga tu
 
Shikamoo wazungu, wazungu wanajali sana haki za binadamu, wanaona waafrika hawana utu, wanasigigana haki zao kama hawana akili nzuri. Hivi haiwezekani waafrika kufanya siasa kama wazungu? Tukitambuana haki zetu wenyewe kwa wenyewe wazungu watatuheshimu, hawatajadili mambo yetu ya ndani kwenye mabunge yao
Kweli kinachofanywa na utawala hapa kwetu ni uonevu na dhulma ila acha kujidanganya, mzungu hajawahi mjali mwafrika wao wanajali maisha ya watu wao, na ukiona wameingiza mguu taifa lolote ujue kuna maslahi yao yanachezewa au wanataka kubadilisha kibaraka.

Hao unaowashabikia (wazungu) ndo waliozalisha yote hayo, wanaliunda halafu wanajifanya kuja kulitengeneza.

Huko Marekani mbona hizo haki hazipatikani kwa baadhi ya makundi ya watu?

Kama wanawapenda waafrika mbona hawaendi Congo au Somalia?
 
Wasiishie tu kwenye vikwazo, ni vema wangewakamata watawala wa Tanzania na kuwashtaki kwa mwavuli wa Umoja wa mataifa, kama ilivyofanyika kwa Noriega. Hiyo ingesaidia sana kuwafanya madikteta wetu kutambua kuwa na wao ni binadamu kama wale wanaowaua, wanaowatesa na kuwaua.
 
Mambo ya Tanzania hayaamuliwa Marekani wala Umoja wa Ulaya. Ni vikao vya kuhalalisha kula posho za taasisi zao tu. Nothing significant, kitakachobadilika. Tanzania ni nchi huru na yenye amani. Na tutaendelea kulinda amani ya nchi hii.Magenge ya mamluki yajipange upya.
Umoja wa Ulaya wameshapitisha azimio la kuikatia misaada yote na kutoshirikiana kiuchumi na Tanzania.

Bajeti yetu inategemea huko kwa asilimia 50, nyie wababe CCM mtatoa wapi pesa za kulipa mishahara?

Yetu macho. Endeleeni kushupaza shingo.
 
Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.

Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.

Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.

Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
hatupangiwi cha kufanya na wazungu waendelee na mambo ytao watuachie ya kwetu
 
taifa huundwa na familia nyingi, na mataifa huunda dunia(umoja wa mataifa).

Kila familia ina namna ya malezi na utaratibu ambao baba na mama wanataka kulingana na imani na misingi ya jamaii zao na vipaumbele. vyao.

Lakini kuna mambo wazazi wakiyavuka au kuyakiuka kwa watoto wao au baina yao, serikali(uongoz wa taifa) unachukua hatua.

Ni ukweli usiopingika kuna baadhi ya wazaz wasingekuwa wanasimamiwa na serikali wangewafanyia watoto wao wa kuwazaa mambo ya kutisha.Au wao wenyewe wangefanyiana unyama mkubwa.

Vivyo hivyo pamoja na uhuru wa kila taifa, kama kusingekuwepo umoja wa kikanda au kimataifa kuna baadhi ya viongozi wangekuwa wanakula nyama za raia wao mchana kweupe. Yaani hali ingekuwa mbaya sana.

Sisi tuangalie wakuu wetu wa familia(taifa) wamekosea nin mpaka mamlaka za kimataifa kuinyoshea kidole? tusikazane kusema tuu kwamba tumeingiliwa.
 
hatupangiwi cha kufanya na wazungu waendelee na mambo ytao watuachie ya kwetu
Ya kwenu kwenda kumshambulia Dr Kitima?

Mdude Nyagali ametekwa amepotea kisa kuwa na maoni tofauti na weye?

Hapana mkuu, huo ni unyama.

Kila binadamu astahiki heshima na kuthaminiwa utu wake, hiyo imo kwenye katiba yetu.
 
Hata vikao vingejadiliwa na Mwenyekiti awe PAPA hakuna kibaraka atapewa nafasi ya kupumua.

Kwani unahisi wakajadili Tanzania ndio itakuaje labda?
Mkuu kunatifauti kati ya UZALENDO, MSIMAMO na HEKIMA/AKILI ya kuongoza na kuish vizuri na jamii zinazotuzunguka kwa maslahi ya ustawi wa taifa.

Ulicho kieleza hapo wewe ni MSIMAMO.
Lakini kumbuka juzi juzi tuu malawi alivyo fungia tusi-export mazao yetu kwao.
Halafi fikiria vzuri halafu tuunganishe mambo niliyoyataja kwenye paragraph ya kwanza.
 
Hakuna hasara yeyote Kwa Tanzania ma hatuna muingiliano mkubwa wa Kibiashara na Marekani
 
Kweli kinachofanywa na utawala hapa kwetu ni uonevu na dhulma ila acha kujidanganya, mzungu hajawahi mjali mwafrika wao wanajali maisha ya watu wao, na ukiona wameingiza mguu taifa lolote ujue kuna maslahi yao yanachezewa au wanataka kubadilisha kibaraka.

Hao unaowashabikia (wazungu) ndo waliozalisha yote hayo, wanaliunda halafu wanajifanya kuja kulitengeneza.

Huko Marekani mbona hizo haki hazipatikani kwa baadhi ya makundi ya watu?

Kama wanawapenda waafrika mbona hawaendi Congo au Somalia?
Kiiza besgye yupo ndani almost 2yrs mbona wapo kimya?, Hawa akina lissu ni puppet very dangerous person! /Hawa ndiyo wanatumwa na kupewa ahadi kem kem!, baada ya kufanikiwa, wazungu wanakuwa wamehaidiwa mgodi possibly mchuchuma! 😊😊😊
 
Hakuna hasara yeyote Kwa Tanzania ma hatuna muingiliano mkubwa wa Kibiashara na Marekani
Kama usemacho ni sahihi na kwamba wataalamu wa masuala mbalimbali ya kimataifa kama vile uchumi na kidiplomasia n. k wanathibitisha hilo basi tulianzishe mkuu.
 
Back
Top Bottom