Tetesi: Seneti ya Marekani itajadili hali ya Kisiasa Tanzania wakati wowote mwezi huu, hapa CCM lazima wapoteane

Tetesi: Seneti ya Marekani itajadili hali ya Kisiasa Tanzania wakati wowote mwezi huu, hapa CCM lazima wapoteane

Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Wameanza kuangalia maeneo ambayo waweza kuyashughulikia.

1. Kuongeza kodi kubwa au kuondoa bodhaa ambazo hazina tija kwenye AGOA au kuiondoa Tanzania kwenye mkataba huo..

2. Kwenye Uhamiaji, wafikiria kupunguza idadi ya maofisa na watumishi wa ubalozi wa Tanzania mjini Washington. Hii ni baada ya ile hatua ya kupunguza namba ya raia wa Tanzania wataomba viza za kwenda Marekani.

Pia kuongeza orodha (banning list) ya watu ambao watuhumiwa kuhusika kwa namna yoyote ile na vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu nchini Tanzania.

3. Misaada ya Afya (AID)

Huenda wakaweka masharti magumu kwenye kuruhusu fedha za misaada kama MCC, Pepfar na Prosper Africa ambayo ni Donald Trump mwenyewe aliileta mwaka 2018. Hii itazingatia taarifa ya baraza la mahusiano ya nje au Council on foreign relations.

4. Kuishauri FIFA kupitia CAF kuzifungia timu za Tanzania zisishiriki kwenye mashandano ya vyombo hivyo kwa muda usijulikana.

5. Kuwashtaki kwenye mahakama za kimataifa za ICC na ICT wale wote wanothibitishwa kuhusika na vitendo vya uvunjaji haki za binadanu, vikiwemo utakaji, utesaji na mauaji.
 
Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.

Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.

Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.

Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Wapumbavu wa nchi hii wamewekeza JF wakati wapiga kura ht hawaingii humu. Tanzania kuna nini kwanini wasikae kwa ajili ya Sudan, DRC? NYUMBU NI ZERO BRAIN KWL.
 
Anaijua Tanzania kweli ?

Juzi aliuliza Congo ndio kitu gani 😂😂
Ok

Mbona kamtuma mwakilishi wake aitwae Massad Boulos (mtoto wake kamuoa Tiffany Trump) akashughulikie suala la mikataba ya madini?
 
Hivi wabunge chewelesa na mwita iweje watokwe povu kiasi kile bungeni, kwani bunge la ulaya lime impose ushoga tanzania au hao wabunge wa tanzania wanafanya siasa za aibu kuhadaa watanzania kuwa EU wanaingiza ushoga nchini? Wabunge wazima kabisa wanakimbilia ushoga kujibu bunge la ulaya hii si ni aibu kuwa na wabunge wa aina hii?
 
Ujinga mlionao wapinzani ni kutegemea msaada kutoka kwa mabeberu sijui mnadhani wao ni wajinga au vichaa wawasaidie bure tu
Kwani Serikali ya CCM inayoranda huko majuu kukopa pesa had za kujenga matundu ya vyoo vya shule, huwa wanatumwa na wapinzani? Uko timamu wewee?
 
Hivi wabunge chewelesa na mwita iweje watokwe povu kiasi kile bungeni, kwani bunge la ulaya lime impose ushoga tanzania au hao wabunge wa tanzania wanafanya siasa za aibu kuhadaa watanzania kuwa EU wanaingiza ushoga nchini? Wabunge wazima kabisa wanakimbilia ushoga kujibu bunge la ulaya hii si ni aibu kuwa na wabunge wa aina hii?
Nashangaa hapo na mie.
 
Utasikia oh wanatuletea mambo ya ushoga, ushoga hatuutaki. Kutumia ushoga kupinga wazungu wanapotaka haki za raia na mambo mengine ya hovyo huo ni upuuzi. Wazungu wana utu tuwaheshimu watatuheshimu
Nilipoona Wabongo ni hamnazo, eti anakataa ushoga, ilaa mauaji na utekaji holela anataka.
Duuh
 
Seneti waache kudeal na shida zao huko kibao waanze kujadili upuuzi wa viongozi wa Africa.
Mkishiba maharage mnawazaga maharage tu
 
afrika yenyewe iliitwa shimo la mavi (shit hole), sijui tanzania itaitwaje?
 
Unajua ccm wanajiona ni sikio la kufa, inafaa chadema wa focus na vitu vinne tu;

1. Waombe wapewe session ya kuwa na mazungumzo na USA senate, pia wakutane na Trump.
2. EU
3. Maandamano.
4. Upinzani waungane, wapiganie Tume huru na katiba, waache kujiunga na ccm kufanya uchaguzi ambao hauna maana.

Kama kuna michango ina hitajika wao kusafiri tuwa changie , ili baada ya siku tupndokane na aibu hii ya kuwa masikini ambao umeletwa na ccm ambao wame kuwa wakitufanyia majaribio kwa miaka 64.
 
Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.

Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.

Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.

Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.


Shida ni pale watakapo minya kwenye international payment system ambayo ndo wanayo wenyewe tu. Hii ndo huwa komesha. Huwezi peleka pesa nje au kuleta ndani ya nchi. Ndo tutapoteana. Uliza iran wanajua mziki ulivyo.
 
Sasa Hivi Utasikia Jamba Jamba (CCM) Kafa Ghafla Tu
 
Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.

Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.

Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.

Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Time to, Waziri wetu anyanyuke aende akawaeleze hali halisi iliyopo, vitisho ambavyo nchi inatishiwa kiusalama, as you know Africa ni Africa, na waafrica ni wale wale, serekali haina baya na chama chochote, ispokuwa inadadisi kauli za kivhochezi hatarishi kwa usalama wa taifa la Tanzania, facts matter!,, kwa nini mpaka sasa kauli zile mbaya sana, hazija fanyiwa kazi ya kuwa translated in English ili waone what was, and why tz do so! Tz polisi are on duty on those who claimed to be taken by hooligans bout where are they!
# simple case!
 
Back
Top Bottom