Nimeona andiko moja linalohusu Senate Meeting Held on 6th May 2024. Hili linazungumzia Ada kwa wanafunzi wanaochelewa kumaliza masomo yao kwa wakati. Ada imepanda badala ya 50,000/month za mwanzo hadi malipo ya semester 1 kwa mwanafunzi. Andiko hilo limesainiwa na Boneventure Rutinwa.
JE, HIZI CHANGAMOTO HIVI SASA HAZIPO TENA?
1. Wasimamizi wa Tafiti
Moja ya changamoto iliopo UDSM na vyuo vikuu vingi vya Tanzania kipindi cha miaka nyuma nafasi ya supervisor .Mwanafunzi anamtumia supervisor kazi , anafatilia mpaka anachoka,kazi inakaa kwa supervisor miezi 2 haipitii huku muda unaenda na akiirudisha karibu kitabu kizima kimechorwa yaani comment (Kuanzia Title, Introduction, problem statement hadi Methodology). Mwanafunzi hapo anakata tamaa, anaanza kuchanganyikiwa
2. Ugumu Tafiti
UDMS na vyuo vya Tanzania tafiti wanazigumisha. Watu wanaona bora ukasome Ulaya ,America au China utamailiza mapema lkn sio UDSM au Tanzania. Licha ya wanafunzi wengi kujitahidi kuandika Tafiti, lakini walikuwa wanakwama either kuonekana tafiti hazina kiwango hasa wakatai wa kudefend specialy in Research gap and methodology. Hii nayo ni kikwazo lakini hao hao wakikimbilia vyuo vya nje ya nchi vyenye sifa kubwa duniani wanatoboa na Tafiti zao zinaonekana bab kubwa.
Zamani watu ukiomba UDSM katika ngazi ya MSC au Phd lazima watu wakuulize. Umefikiria mara 2? unataka ukazeeke huko? Hujaona chou cha kwenda? kama mfanyakazi wanakwambia unataka ukastaafu huko yaani kama huna roho ngumu unaweza kughairisha. Tafiti zenyewe mwisho wa siku zinaishia katika makabati ya wanafunzi.
JE, HAYA MAMBO YAMEONDOKA?
Kama hayo mambo yameondoka Hio itasaidia sana kuwafanya wanafunzi wasome kwa bidi. Kama haya mambo bado mlichopitisha katika SENET inaenda kuwaumiza zaidi wanafunzi na kuwakatisha tamaa kabisa
USHAURI: Kwa mshapitisha basi pitisheni sheria nyengine ya kuwabana supervisor kuwasimamia wanafunzi na kazi zao wazipitie ,Pia Chuo kiweke utaratibu yaani ratiba mzuri ya kudefend kwa wanafunzi hasa katika ngazi ya MSC PHD. hii Ratiba itawafanya supervisor kuwasimamia wanafunzi ipasavyo.
Wakati nachukua PHD yangu nchini Tanzania, tulikuwa wanafunzi karibu 10 department yetu, peke yangu ndio nilimaliza kwa wakati, kwa hivyo changamoto hizi nazifahamu vizuri sana.
Utaniluiza ilikuwaje ukafanikiwa?