Senetor is seriously sick

Senetor is seriously sick

pole ndugu get well soon hope shemeji yetu anakuhudumia matunda maji nk
 
Naona 2012 Tumeanza kwa mbwembwe kweli kweli!

Hivi kuugua Malaria, Tumbo la kuhara, and the likes is it something EVERYONE needs to know? Nadhani unapotafuta "sympathy" kwa kuugua inakuwa unajitafutia "kaburi"!

Acheni kuwa kama watoto under 5! To declare your illiness or any other ailment in public in dalili ya kukata tamaa!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Get well soon.gif

Upone Haraka Mkuu
 
Naona 2012 Tumeanza kwa mbwembwe kweli kweli!

Hivi kuugua Malaria, Tumbo la kuhara, and the likes is it something EVERYONE needs to know? Nadhani unapotafuta "sympathy" kwa kuugua inakuwa unajitafutia "kaburi"!

Acheni kuwa kama watoto under 5! To declare your illiness or any other ailment in public in dalili ya kukata tamaa!

...umesema sawa kabisa kiongozi, nadhani kuna haja ya kuanzisha jukwaa dogo la 'madeko.'
 
pole wewe ni kiungo muhimu kwenye timu yetu.
 
Back
Top Bottom