Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa ni waziri mkuu wa china mkuu siyo rais...ila umeandika raid rekebisha basi.
Hii ingekuwa Tanzania eti makonda ndo avae hvo...nahisi Magu angemfukuza..ila wakenye wamelalamika sana wengine wanasema Sonko bado ako na utoto haikuwa poa kuvaa hvo.
Ila aliyenivunja mbavu ni Ruto jinsi alivocheka..sijui hata kilichomchekesha hvo nn tu. Ila kenyata bwana...wala hata hakuona kama ni kitu cha ajabu sana.
Pole ,bado upo gizani mkuu....kama angevaa hivyo kwa sasa ambao wangemcheka ndiyo wangetumbuliwa.....
Kaona president huwa anatupia Jean's hivyo na yeye kaamua atupie. Kapendeza
Makonda amefanya ujambazi clouds wala rais hajashtuka na matokeo yake Nape kafukuzwa, amtimue kwa uvaaji!Ilikuwa ni waziri mkuu wa china mkuu siyo rais...ila umeandika raid rekebisha basi.