Sengerema kuna nini???

Mchoropa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
402
Reaction score
304
Hongera sana ewe mwalimu mwenzangu ambaye umemaliziwa pesa yako ya kujikimu pamoja kupata mshahara wa mwezi april, hali ni tofauti sana na huku kwetu halmashauri ya wilaya ya SENGEREMA! Pesa ya kujikimu tulipewa ya siku tatu tu na mpaka sasa hakuna mwenye uhakika wa kumaliziwa pesa hizo, achilia mbali mshahara wa mwezi april lakini hakuna utaratibu mzuri wa kuwapa support walimu wapya, nathubutu kusema ni miongoni mwa halmashauri zinazoongoza kwa dhuruma na ufisadi! sina hata hamu ya kujivunia kupangwa katika halmashauri ya SENGEREMA! UFISADI UNAITAFUNA WILAYA HII@
 
Last edited by a moderator:
poleni sana ahsante mungu kwa kunipanga kwimba
 
Kuna lidude linaitwa lingereja aise bonge la fisadi hilo, nadhani ndo linafanya wafanyakazi wa huko kuteseka hivyo.
 
Jamani ualimu ni WITO punguzeni kulalamika...na nyie wote mnao lalamika hamna WITO na ualimu...kila siku malalamiko tu aaaah muwe wavumilivu!
 
Jamani ualimu ni WITO punguzeni kulalamika...na nyie wote mnao lalamika hamna WITO na ualimu...kila siku malalamiko tu aaaah muwe wavumilivu!

Sawa, wawe wavumilivu lakini hiyo wilaya ni ngumu sana kwa watumishi wa umma
 
Eeeeeeh mola wetu, wape moyo wa ubinadamu na huruma viongozi wa wilaya hii, kwa nini wanatufanyia hivi???
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…