Mchoropa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 402
- 304
Hongera sana ewe mwalimu mwenzangu ambaye umemaliziwa pesa yako ya kujikimu pamoja kupata mshahara wa mwezi april, hali ni tofauti sana na huku kwetu halmashauri ya wilaya ya SENGEREMA! Pesa ya kujikimu tulipewa ya siku tatu tu na mpaka sasa hakuna mwenye uhakika wa kumaliziwa pesa hizo, achilia mbali mshahara wa mwezi april lakini hakuna utaratibu mzuri wa kuwapa support walimu wapya, nathubutu kusema ni miongoni mwa halmashauri zinazoongoza kwa dhuruma na ufisadi! sina hata hamu ya kujivunia kupangwa katika halmashauri ya SENGEREMA! UFISADI UNAITAFUNA WILAYA HII@
Last edited by a moderator: