Sengerema: Polisi awanasa wanafunzi wa kifanya biashara muda wa masomo

Sengerema: Polisi awanasa wanafunzi wa kifanya biashara muda wa masomo

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Ujira kwa watoto bado upo, na hii inasababishwa na hali duni ya familia zao ambapo inabidi waingie nao mtaani kujitafutia riziki wakale wao na famila zao.

====================
Baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi Sengerema na Mwamondi zilizopo kata ya Dutwa wilayani Bariadi wamekutwa na Mkaguzi Msaidizi wa jeshi la polisi wa kata hiyo, Canatus Kamihande wakifanya biashara mtaani muda ambao walitakiwa kuwa darasani.

Kamihande amewaelimisha watoto hao juu ya kudai haki yao ya msingi ya kupata elimu kwa wazazi wao ambao wamekuwa wakiwatuma kufanya kazi mbalimbali muda ambao wanatakiwa kuwa shule.

Soma Pia: Mkuu wa Dawati awaasa wanafunzi kuhudhuria Masomo kikamilifu, awasihi walimu kufuatilia mienendo ya watoto

Screenshot 2024-11-13 190437.png
 
Kusoma huku hujui ukirudi utakula nini kusikieni tu.
 
Back
Top Bottom