KERO Sengerema: Walimu Ajira Mpya tunahitaji Fedha za Kujikimu, tunafuatilia tangu March 2025

KERO Sengerema: Walimu Ajira Mpya tunahitaji Fedha za Kujikimu, tunafuatilia tangu March 2025

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Tunaishukuru Serikali kwa kutupatia ajira lakini… tumefatilia hizo fedha za kujikimu kwa muda mrefu sana kwa makundi, wapo waliofuatilia tangu Mwezi March, wengine April lakini mpaka leo ni August inaenda September 2025 hakuna kitu.

Majibu ya Afisa Elimu tukiulizia tunaambiwa “Mwezi July huwa Mifumo ya pesa haijakaa sawa kwa hiyo tusubiri”

Tunachojiulia tunasubiri hadi lini wakati Watu tumesubiri tangu March!!!! Wanadai malipo yaliyokuja ni ya
Sekta ya Afya pekee wengine hatumo kwenye listi, inauma sana hii, ujumbe huu ufike kwa Mamlaka za juu ili watusaidie kupata malipo yetu!!!

Hio pesa ni hako yetu! Tupewe tafadhali.
 
Ili suala liingiliwe kati ukiangalia wao kipindi wanaanza kazi walilipwa lakini Kwa wengine inakuwa usumbufu na ukidai sana utaonekana kama ww ndo unayejua
 
Ili suala liingiliwe kati ukiangalia wao kipindi wanaanza kazi walilipwa lakini Kwa wengine inakuwa usumbufu na ukidai sana utaonekana kama ww ndo
 
Wanataka muajiriwa mpya aanze kuishi kwa stress zaidi na mikopo juu

#WATU WALIPWE ELA ZAO KWA WAKATI KAMA WANATEGEMEA MAPATO YA NDANI WAWAAMBIE KULIKO KIWAZUNGUSHA NI HUZUNI🚮
 
Back
Top Bottom