Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kumbuka Better sio Kwamba kilichofanyika ni kibaya bali hata kama ni kizuri, Je kingeweza kuboreshwa?
Binafsi sina tatizo hata kama sensa ingechukua mwezi mzima au mwaka, let alone siku 7
Binafsi kwenye hii karne ya Sayansi na Teknolojia, nadhani hili zoezi lingeweza kufanyika kwa urahisi na uhakika zaidi ukizingatia information nyingi zipo (NIDA, Mipango Miji, n.k.), Ingawa hili suala la kutumia vishikwambi na data kuwa relayed Live nadhani ni makosa ukizingatia mitandao yetu na network tunazijua wenyewe.
Ushauri wangu kwanini hizo Dodoso wasingezisambaza kwa watu hata mwezi kabla watu wakajaza na kupeleka kwa mwenyekiti wa Mtaa au kama vipi siku ya siku makarani kazi yao ikawa ni kupitia hizo fomu, sababu knowing human nature ni rahisi kuandika ukweli / kutiki ukweli akiwa peke yake kuliko kumuuliza maswali
Je, tunaweza kuboresha wapi? for the Future?Au hata sasa sababu mpaka sasa hili zoezi binafsi nadhani lingeweza kuboreshwa tena kwa gharama ya kutoa photocopy hao madodoso.