Sensa 2022: Kwanini Samia hakutangazia Taifa kupitia vyombo vya habari ili kuokoa mapesa yaliyoteketea?

Sensa 2022: Kwanini Samia hakutangazia Taifa kupitia vyombo vya habari ili kuokoa mapesa yaliyoteketea?

Kwa sasa ndio unateseka zaidi huku yeye akiwa mapumzikoni.

Leo unashinda njaa huku ukiendeleza msongo wa mawazo milele.

Kama unamtamani meza sumu ili umfuate mkamalizane,hakuna aliyekuzuia mbwa koko wewe!
Yuko Mapumzikoni!!
Shetani muuaji kama yule awe Mapumzikoni!!!!!
We lazima utakuwa na wazimu..
Kamfate Chattle umsaidie damu alizomwaga duniani
 
Sensa inafanyika Baada ya miaka kumi, Hivyo Hakuna ubaya Wala Tatizo kufanyika Tukio la aina hiyo, kwanza Ni Upendo wa Rais wetu mpendwa kutaka kuona anashiriki na wananchi wake kwa pamoja katika kuelezana idadi yetu itakayosaidia serikali yetu Katika upangaji wa mipango ya maendeleo na kukabiliana na maadui watatu wa ujinga , umaskini na maradhi, Lakini pia ni zoezi muhimu kwa kuwa limempa picha Rais wetu mpendwa ya kujuwa aina ya Taifa analoliongoza hasa kiuchumi, Hatuwezi kushindwa kujiandaa kifedha kwa zoezi Tunalojuwa linafanyika baada ya miaka kumi,

Punguza hasira zako tu kwa mama yetu mpendwa Mama Samia kipenzi Cha watanzania
 
Back
Top Bottom