Sensa imegeuka mrija wa upigaji. Nia njema ya Rais iende sambamba na uadilifu

Kwanza semina ni siku 18
Halafu pesa wanayolipwa Hata sio kubwa kulingana na umuhimu wa zoezi lenyewe..
Tatu pesa hiyo hutoi wewe..
Nne na mwisho hili zoezi ni Kila miaka 10 Sasa kwanini watu wasinuafaike angalau kidgo..
Na mwisho kabla sijasahau
Punguza wivu mkuu
 
Sensa ya 2012 kaya nyingi hazikuhesabiwa, sijui kitu gani kilitokea eneo tunaloishi wahesabiaji hawakuja
 
Kuna watu kwenye maisha wanashindwa kuvivaa kihisia viatu vya wenzao, unaweza kukosa wewe fursa fulani lakini ikasaidia wengi.
Kwanza pesa yenyewe jumla ni kama 1,250,000/= tu sidhani kama kuna zaidi.

Kuna ambao hizo hizo posho ndio utakuwa mtaji wao wa kuanzisha mradi mdogo wa ujasiriamali na kuna ambao lazima kwenye bar za mitaani kwao wawatambuwe na watapiga kibiriti ela yote hata vest ya kuvalia ndani hawatokumbuka
 
Popoma kweli wewe, kwahiyo ulitaka hao makada wa ccm ndo wasimamie zoezi nyeti kama hili?
 
Nia Yako ni njema bt Kwa sensa acha ipite Ivo, ni muhimu sana.

Hilo jambo la kubana matumizi ni waache kutumia Yale ma V8, wakurugenzi, wabunge, makatibu,wizarani nk watumie Toyota land cruiser mkonga inatosha.😠😠😠

Wizi kwenye pesa za miradi ktk majiji na halmashauri udhibitiwe,

WARSHA na seminar wafanyie Ofisini, wasikodi mahoteli makubwa.
 
Acha tule posho mkuu. Nongwa sana mwanakwetu
 
watapigaje hela mkuu,na uwezi amini nimetumiwa sms et watahusika hao wenyeviti
huu ni mpango wa upigaji hamna atayekubali,yaani hamna mwenye huruma na pesa
 
Ushaliona dodoso?
Sensa siyo kuhesabu watu tu, ingekuwa hivyo wenyeviti wa serikali za mitaa wangetoa taarifa tu kila mmoja mtaani kwake kuna watu wangapi.
 
Kama waliweza kifanya chafuzi na kuzipika na kuziita chafuzi siwezi kushangaa🤔
 
Huwezi kuelewa mdundo kama huchezi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kila kitu kukifanya upigaji sio sahihi,hili zoezi linahitaji watu wenye uelewa..

Pia kuleta mada saizi wakati zoezi liko mwisho sio sawa.

Mwisho wakati mwingine pesa inatakiwa kufika kwenye mzunguko kwa haraka na Kwa watu wengi tofauti na kwenye miradi ambako mzunguko wake ni kidogo na unaenda Kwa watu wachache sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…