Sensa: Je, kuna ubaya kuwauliza watanzania their hopes & expectations of their government? Niko tayari kuhesabiwa, wewe je?

Fomu yako ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Ubunge wa Bunge la Afrika ya mashariki haijavuka mchakato unaanza kubeza ilani ya Chama kuhusu ujenzi wa miundombinu! JIWE alisimamia hili na Mama anaendelea, automatically ushaliwa kichwa.
 
Uhesabiwe usihesabiwe haipunguzi bei ya Sukari na Petroli!
 
Fomu yako ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Ubunge wa Bunge la Afrika ya mashariki haijavuka mchakato unaanza kubeza ilani ya Chama kuhusu ujenzi wa miundombinu! JIWE alisimamia hili na Mama anaendelea, automatically ushaliwa kichwa.
Sijaomba ubunge wa Eala ili nihurumiwe nipitishwe kwa hisani, no!. Nimeomba ubunge wa Eala as a deserving Tanzanian mwenye nia, moyo, Ari na uwezo wa kusaidia ili kusaidia nchi yangu, chama changu, na Watanzania wenzangu. Chama changu kikiniona niko too critical hivyo nisiteuliwe, nitakubali matokeo, wholeheartedly, kwasababu kati ya hao watu 186, naamini labda kuna watu wazuri kuliko hata mimi, lakini ikiwa I'm among the best, kunikata kwasababu tuu niko too critical, then chama changu CCM, would be doing terrible mistakes not to me but to this nation!.
P
 
Umeandika uongo wa kisiasa
Tanzania kama kuwa n kila kitu cha kufanya tuendelee kuwa na raslimali lukuki na uongozi mzuri na siasa nzuri pekee hakuifanyi nchi kuendelee
Na wewe una Mpinga Uvccm taga mwenzio...ajabu Sana hii..
Endeleleeni kupiga propaganda huku mkilipwa Kodi zetu ipo siku ....tutaamka usingizini..
 
Uhesabiwe usihesabiwe haipunguzi bei ya Sukari na Petroli!
Mkuu Vyura99tu, it's true uhesabiwe usihesabiwe hakupunguzi mfumko wa bei, ila usipohesabiwa, share yako inakuwa haipo!. Ukinunua chochote dukani, inakuwa umeinunua share yangu nilio hesabiwa!.
P
 
Suala la sensa ni muhimu sana, Ila aina impact yoyote kwenye nchi nyingi za kiafrica... especially Tanzania ambayo hata robo ya bajeti yetu hatuwezi kuimudu kwa ufasaha
 
Suala la sensa ni muhimu sana, Ila aina impact yoyote kwenye nchi nyingi za kiafrica... especially Tanzania ambayo hata robo ya bajeti yetu hatuwezi kuimudu kwa ufasaha
Mkuu JrAssess, kuna msemo usemao "information is power", ile kujua tuu Watanzanzania tuko wangapi, it's much much power and a force to recon with!.
p
 
Mkuu,
Hapo ni sawa na maoni ya Katiba mpya! Wananchi watafunguka watawala waziogope findings! By the way ni msomi yupi wa kusimamia findings hizo? Hawa wanaobadili maoni yetu na kutotaka mabango ya wananchi?


Utaambiwa findings zako zinachochea uasi!
 
ajira ajira ajira kwa vijana ndio kundi kubwa miongoni mwa watu wa Tanzania hawa wakiwezeshwa kila kitu kitakua laini ie tuwekeze kwenye tafita kuhusu maendeleo na ajira kwa vijana kwenye nyanja zote
 
 
ngoja niitumbukize hapa tuone kama wataifuta
Nauliza hii hesabu ya mama HANGAYA ipo sawa au uchakachuaje wa mazoea unaendelea
anasema tupo mil 61.7
Pascal Mayalla hebu nidadavulie hii hesabu hapa kama ipo sawa


hii idadi ya watu mi;l 2.1 wa DAR wamepotelea wapiiiii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…