Sensa na Maendeleo yetu vina uhusiano mkubwa kweli?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Tangu 1961 tumekuwa tukifanya sensa na kuahidiwa kuwa sensa inasaidia kuleta maendeleo kwa kujua idadi ya watu.
Swali: mbona sasa ni miaka zaidi ya 60 tunafanya sensa na hatuna maendeleo ya Maana?
 
Maendeleo yapo, ila ni kwa mtu mmoja mmoja...
 
Kiukweli hakuna. Na sababu kubwa ni Siasa kutawala mambo mengi sana kwenye nchi yetu.
 
Tangu 1961 tumekuwa tukifanya sensa na kuahidiwa kuwa sensa inasaidia kuleta maendeleo kwa kujua idadi ya watu.
Swali: mbona sasa ni miaka zaidi ya 60 tunafanya sensa na hatuna maendeleo ya Maana?

Ina umuhimu kwa nchi zenye viongoz wanao jitambua ni sawa na kujua idadi ya watu kwenye familia yak utajua mchele unahitajikq kiasa gani nani anasumbuliwa na nin hivyo ni rahis kupanga pajet
 
Tangu 1961 tumekuwa tukifanya sensa na kuahidiwa kuwa sensa inasaidia kuleta maendeleo kwa kujua idadi ya watu.
Swali: mbona sasa ni miaka zaidi ya 60 tunafanya sensa na hatuna maendeleo ya Maana?
Wewe kubari hesabiwa kwanza kisha subiri kinachofuata utaelewa tu taratibu taratibu

Nawasilisha..
 
Back
Top Bottom