Sensa ya 2022 kuhusu kusoma na kuandika

Sensa ya 2022 kuhusu kusoma na kuandika

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
276
Reaction score
574
Asilimia 83.0 ya watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi Tanzania wanajua kusoma na kuandika ambapo wanaume ni asilimia 86.8 ikilinganishwa na wanawake asilimia 79.5. Sensa2022.

Je, unahisi ni sahaihi kwa utafiti huu kwa mjibu wa “SENSA”?
 
Umeweka takwimu, sie tukajuaje ni sahihi ama mchakachuo?

Labda tufanye sensa upya.
 
Asilimia 83.0 ya watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi Tanzania wanajua kusoma na kuandika ambapo wanaume ni asilimia 86.8 ikilinganishwa na wanawake asilimia 79.5. Sensa2022.

Je, unahisi ni sahaihi kwa utafiti huu kwa mjibu wa “SENSA”?
Ujumbe huu niliupata na nikampa mtoto wangu wa darasa la nne anitafsirie kwa kikinga lugha ya Makinda lakini tafsiri ikagoma, nikaishia kusema ndiyo sababu kila mradi tunafeli.
 
Asilimia 83.0 ya watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi Tanzania wanajua kusoma na kuandika ambapo wanaume ni asilimia 86.8 ikilinganishwa na wanawake asilimia 79.5. Sensa2022.

Je, unahisi ni sahaihi kwa utafiti huu kwa mjibu wa “SENSA”?
Sensa2022 hawajui kama ni kweli au la, nitawafowadia Bashe na Mpina wanisaidie.
 
Back
Top Bottom