mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
... majini na wewe umeyasahau. Ingesaidia kupata picha ya kiwango cha ushirikina, uganga, na ulozi nchini na kuweka mipango ya kupambana imani za kishirikina ambazo ni tatizo linalozidi kuota mizizi nchini!Panya, sungura,senene nk mbona wewe umewasahau.
Kwani serikali ina dini? Kwani kuuliza kwenye dodoso kama kaya in mifugo hiyo na hiyo kaya ikajibu haina hapo tayari itakuwa umetenda dhambi? Tuna safari ndefu sana ya kujikomboa kifikira.Unataka karani muisilamu aulize kuhusu nguruwe! Labda ungesema mchuzi wake.
Kuhusu mbwa nalo ni haramu kumuuliza muisilamu.
Ina maana kama Taifa hatuhitaji kujua hali ya ufugaji wa huu mfugo utupatiao kitimoto kilicho mkipenzi cha wengi? Je hakuna mpango wa kuendeleza ufugaji wa nguruwe? Je hakuna haja ya kujua tuna mbwa wengi kiasi gani? kama ni hivyo tutapangaje mpango wa kuwachanja mbwa dhidi ya kichaa cha mbwa kama hatuhitaji kujua hali na kiasi cha ufugaji wa mbwa??
Ng'ombeKwani kondoo wametaja?
Mkuu mbingunikwetu, naunga mkono hoja, tena ule mwezi, mauzo huwa yanashuka!.Ina maana kama Taifa hatuhitaji kujua hali ya ufugaji wa huu mfugo utupatiao kitimoto kilicho mkipenzi cha wengi?
Ili tuje tulipie kodi ya kuwafuga maana nchi ni ya ccmNg'ombe
Mbuzi
Kondoo
Punda
Nguruwe
Kuku.
WOTE HAO WAMERAJWA
KWENYE DODOSO.
Hizo zitakuwa takwimu za Kiborloni Bwashee.Kwa takwimu ukitoka Kuku mifugo wanaofhatia kwa wingi ni Nguruwe
Sasa dini na dodoso za kujua idadi ya wanyama vina uhusiano gani mi naona kama maslahi ya nchi yataelemea itikadi flani huoni nchi inaweza isifike popote kimaendeleo. Kwa maana mtu kujua mfano kama una nguruwe au laah kuna punguza ama kuongeza nini kwenye dini yake. mi naona mtazamo wako ni very pesmistic in natureUnataka karani muisilamu aulize kuhusu nguruwe! Labda ungesema mchuzi wake.
Kuhusu mbwa nalo ni haramu kumuuliza muisilamu.
Hata Nyanda za juu kusiniHizo zitakuwa takwimu za Kiborloni Bwashee.
...huoni nchi inaweza isifike popote kimaendeleo. Ukitaka kujua tulipo tazama nchi zilizopata Uhuru nyuma yetu, utajua sisi tupotupo tu, wenzako uchaguzi ukiisha wanaanza lampeni za uchaguzi ujao! Kwao muhimu ni madaraka, maendeleo ni yao ya binafsi ya utajiri.Sasa dini na dodoso za kujua idadi ya wanyama vina uhusiano gani mi naona kama maslahi ya nchi yataelemea itikadi flani huoni nchi inaweza isifike popote kimaendeleo. Kwa maana mtu kujua mfano kama una nguruwe au laah kuna punguza ama kuongeza nini kwenye dini yake. mi naona mtazamo wako ni very pesmistic in nature
..kazi ya kuboresha ufugaji huu! huu upi?Mkuu mbingunikwetu, naunga mkono hoja, tena ule mwezi, mauzo huwa yanashuka!.
Japo hakukuwa na swali kuhusu jamaa hawa kwenye dodoso, lakini kazi ya kuboresha ufugaji huu inaendelea
P
Iringa hao wadudu wanajitegemea kutafuta chakula na kulala.Hata huko Iringa hawakuulizwa kuhusu ufugaji wa kile kitoweo chao?
Kama hivyo basi next time dondoo za maswali zirekebishwe ili ziendani na mazingira ya mahali watu walipo