Sensa yaibeba Simba idadi ya mashabiki

Ngho

Senior Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
121
Reaction score
189
Baada ya kumsikia afisa Habari wa Yanga Ndg. Kamwe akitaja IDADI ya mashabiki wa team yake kuwa ni kama ml. 20, na takwimu zilizosomwa Leo na Mh. Rais Samia kuwa waTanzania tupo ml. 61, hii tafsiri yake kuwa Simba ina fans wanaokaribia mil. 40.

Hii imechagizwa na idadi kubwa ya Watanzania kuiona simba kwenye mafanikio makubwa ya kimpira kama Ahmed Ally alivyodai kuwa nusu ya waTanzania hawajawahi kushuhudia UTO wakiwa makundi wala wakishinda 5 mbele ya mtani.

Hivyo ni vigumu mtu kushabikia team ya namna hiyo au labda awe zwazwa tofauti na wale wazee wawili alowataja Bi. Ashura Cheupe.

It was a matter of mathematics, numbers don't lie. Simba ni wengi. Ukibisha umbishe na Afisa Habari wenu wa UTO.
 
sidhani kama mashabiki wa MAKOLO mnafika hata mil 20!yaani mil 40 wote washangilie wavaa dera nyekundu km mpo ktk siku zenu!?
 
sidhani kama mashabiki wa MAKOLO mnafika hata mil 20!yaani mil 40 wote washangilie wavaa dera nyekundu km mpo ktk siku zenu!?
Unaonaje tukienda kwa takwimu ndogondogo kwanza?
 

Attachments

  • IMG_20221101_120719.jpg
    50.6 KB · Views: 3
  • IMG_20221101_120646.jpg
    50.6 KB · Views: 5
qmmk
nimekuja mbio nikajua kuna kitu cha maana
 
kama commender in chief mwenyewe anasema wananchi tupo milioni 61 we ni nani utubishie?UMBWA WE.
 
Tumia akili yako vizuri
 
kama commender in chief mwenyewe anasema wananchi tupo milioni 61 we ni nani utubishie?UMBWA WE.
Ashura Cheupe amewa-rank vizur Vihio nyie.
 
Tegua mtego with facts mzee
1. Hivi unajua kuwa kwenye hao 61M kuna watu hawapendi Simba wala Yanga?

2. Hivi unajuwa kuwa kati ya hao 61M, kuna watu hawapendi kabisa football.??

3. Hivi unajuwa kuwa kuna watoto wamehesabiwa na hawajui kama kuna kitu kinaitwa michezo?

4. Hivi unajuwa kuwa, kwenye hao 61M, kuna vichaa ambao hata hawaelewi Yanga wala Simba ni nini?

Siyo kirahisi kama unavyotaka tuamini kuwa kwa vile Yanga wamesema wana wapenzi 20M basi waliobaki waote ni Simba..!!

Hapo ndipo kwenye msingi wa hoja yangu ya kwamba AKILI ITUMIKE VIZURI
 
Umezunguka sana ila kwenye hoja yangu ni kuwa Simba inakaribia 40ml not exactly, na hata unaposema vichaa nahisi ni wale alowajumuisha Ashura Cheupe kuondoa wale wazee wawili[emoji23][emoji23]
Ila kusema wengine hawajui mambo ya simba na UTO sijui, maana karibia kila mTanzania anaijua [emoji881][emoji881]
Lakini pia kuna hoja ya attendance ya uwanjani na social media.. Bado [emoji881][emoji881]is far more than [emoji196][emoji196]
 
Huna hoja
Hizo facts nilizokuwekea zipo very clear. Wewe ipinge kila moja kwa hoja, si kuandika kiushabiki MANDAZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…