Ngho
Senior Member
- Jun 2, 2015
- 121
- 189
Baada ya kumsikia afisa Habari wa Yanga Ndg. Kamwe akitaja IDADI ya mashabiki wa team yake kuwa ni kama ml. 20, na takwimu zilizosomwa Leo na Mh. Rais Samia kuwa waTanzania tupo ml. 61, hii tafsiri yake kuwa Simba ina fans wanaokaribia mil. 40.
Hii imechagizwa na idadi kubwa ya Watanzania kuiona simba kwenye mafanikio makubwa ya kimpira kama Ahmed Ally alivyodai kuwa nusu ya waTanzania hawajawahi kushuhudia UTO wakiwa makundi wala wakishinda 5 mbele ya mtani.
Hivyo ni vigumu mtu kushabikia team ya namna hiyo au labda awe zwazwa tofauti na wale wazee wawili alowataja Bi. Ashura Cheupe.
It was a matter of mathematics, numbers don't lie. Simba ni wengi. Ukibisha umbishe na Afisa Habari wenu wa UTO.