Sensa yapoza machungu ya Yanga Taifa

Sensa yapoza machungu ya Yanga Taifa

Monica Mgeni

Member
Joined
Oct 7, 2021
Posts
82
Reaction score
134
Licha ya Klabu ya Soka ya Yanga kufungwa katika kilele cha Siku ya Mwananchi na klabu ya Vipers SC lakini ujumbe wao kuhusu Zoezi la Sensa na Makazi umekuwa ni ubunifu mzuri na wa kuigwa.
Yanga Day 2022.jpeg
Wiki ya Mwananchi 2022.jpeg
 
Sawa Ila Wamezabwa Mawili Chap Chap
Beautiful Beautiful, Byut Byut Chali
 
In Tanzania everything is politics....including sports. Upuuzi mtupu.
Mbona wana mashaka na sensa wakati ni jambo LA kawaida? Wana mashaka gani hadi kampeni kila kona?
 
Back
Top Bottom