Sensor za Toyota Harrier 1998

Sensor za Toyota Harrier 1998

Mimi nisivyo penda stress za magari, nikiona gari imeanza kunipeleka garage kipumbav pumbavu, mara ya kwanza navumilia ikifika ya tatu nauza... WaTz mnapenda kung'ang'ania magari hadi yawafie... Hata kama gari unaipenda kiasi gani ukikaa nayo miaka 5 inatosha uza nunua nyingine...
Yawezekana anayetafuta ni huyo anayenunua hilo lililosumbua mara mbili tatu. Hivyo service za aina hii lazima ziwepo tu mkuu.
 
Back
Top Bottom