Mimi nisivyo penda stress za magari, nikiona gari imeanza kunipeleka garage kipumbav pumbavu, mara ya kwanza navumilia ikifika ya tatu nauza... WaTz mnapenda kung'ang'ania magari hadi yawafie... Hata kama gari unaipenda kiasi gani ukikaa nayo miaka 5 inatosha uza nunua nyingine...