Angalia unavyojikanganya...
Mara tena... saa chache tu baadae:MY OPINIONS.. Ukisoma sentensi ya kwanza utagundua kumbe kulikua na mashindano ambayo sisi hatukuyajua,na meneja wa diamond kakubali kushndwa..
Vipi jombaa, mbona hueleweki? Mara hamkufahamu, mara oh, kabla ya ile show watu wengi waliweka kama ushindani!!!!! We umeshasema ulikuwa hufahamu sasa how come tena unadai kabla ya show watu wengi... how did you know wakati hukufahamu lolote?Kumbuka kabla ya ile show watu weng waliweka kama ni ushndan kat ya kiba na diamon,hvo mashabiki wakaonesha wanupenda upane gani zaid..