Sentensi 4 za Uongozi wa Diamond Platnumz kuhusu kilichotokea kwenye Fiesta

Sentensi 4 za Uongozi wa Diamond Platnumz kuhusu kilichotokea kwenye Fiesta

Angalia unavyojikanganya...
MY OPINIONS.. Ukisoma sentensi ya kwanza utagundua kumbe kulikua na mashindano ambayo sisi hatukuyajua,na meneja wa diamond kakubali kushndwa..
Mara tena... saa chache tu baadae:
Kumbuka kabla ya ile show watu weng waliweka kama ni ushndan kat ya kiba na diamon,hvo mashabiki wakaonesha wanupenda upane gani zaid..
Vipi jombaa, mbona hueleweki? Mara hamkufahamu, mara oh, kabla ya ile show watu wengi waliweka kama ushindani!!!!! We umeshasema ulikuwa hufahamu sasa how come tena unadai kabla ya show watu wengi... how did you know wakati hukufahamu lolote?
 
Yaani huku celebrity leo kuna boa manaake kula uzi ni domo na kiba hakuna jipya
 
Mi mwenzenu nashangaa kwani shida iko wapi....kwani kuzomewa ndo iwe ishu hivi?
Ni kwamba hajawahi kufikiria km ipo cku na yy anaweza zomewa stejini?kwamba yy ni wa kushangiliwa tu?....huu ni ujinga jamani yaani imekuwa issue....haya mambo yapo mbona wala haina haja ya malumbano zaid ya kujipanga upya
Kuzomea wala sio issue wala nini na hata ukifuatilia nyuzi za humu JF, nyingi zimeletwa na hao hao kutoka kwenye kambi ya kuzomea... ingekuwa zimeletwa na watu kutoka kambi ya Diamond wakionesha ku-mind kwamba kwanini mtu wao amezomewa, sawa! Sasa kuzomea wamezomea... bado wanaleta nyuzi kibao kuendelea kumponda Diamond.. so, can you blame wale wanaojitokeza kumtetea Diamond?
 
acha kutuaminisha ujinga ww, et walijiandaa ili wamzomee, kwa hiyo walokua wamejiandaa wakaenda kuupa taarifa uongoz wa cloudz kuwa leo tutamzomea diamond?? Even a standard 3 boy can't accept ur argument coz it doesn't make sense. Heb jarb kujipanga halaf uandike kama m2 mwenye akil timamu, umati wa watu wale wote wa organise kumuzomea dangote, kikao hcho waliitisha wap? Na nan alikichair? Jipange

Kweli wewe ni [MENTION=120017]mkwe Mwema kwa akili hizi familia yako iko imara sana,achana nae huyo ana hasira tokea juzi akiona mtu unampenda Kiba basi anakushambulia na gazeti hilooooo

Sisi tumeshamjua tunampotezea
 
Last edited by a moderator:
Bora wamtulize maana tulichoka sana na sentesi zao
"kwa mara ya kwanza msaani wa tanzania........"
 
Aibu mtu mzima kuzomewa kama toto lililojikojolea, kama mimi ndo ndomo sihudhurii tena fiesta zao, hatumtak ndomo, kiba ndo habar ya mujini

Hahahaaaaaaaaaaa 😀😀😀
 
bora wamtulize maana tulichoka sana na sentesi zao
"kwa mara ya kwanza msaani wa tanzania........"

Hahahaaaaaa kumbe kila mtu ana sababu yake eeh???????
 
Mkiambiwa kwamba mnapotosha huwa mnakataa... angalia sasa, unapotosha mchana kweupeee!! Wewe huyo huyo unasema uongozi wa Diamond unadai uliambiwa na Clouds lakini badala yake unaulaumu uongozi wa Diamond! Kwanini usihoji kwanza uhalali ama ukweli wa kauli hiyo badala ya kukimbilia kuulamu uongozi wa Diamond? Sasa kama uongozi wa Clouds waliuambia uongozi wa Diamond, how come tena unaulaumu uongozi wa Diamond wakati wao waliambiwa tu?

But all in all, angalia ulichomnukuu kiongozi wa Diamond: tukaambiwa kuna watu wamejiandaa kumzomea Diamond lakini badala yake wewe unabadilisha maneno na kusema: eti hao watu waliandaliwa! Ni nani aliyesema wameandaliwa wakati wao wamesema wamejiandaa? Hivi huoni hizo ni maana mbili tofauti? Hivi huoni mtu anaposema wamejiandaa ni suala binafsi... kwamba wao hawakumshika uchawi yeyote?

Tuje kwenye hoja... je, ni kweli Clouds waliwaambia uongozi wa Diamond au hawakuwaambia? Wala hapahitaji degree kufahamu ni kuna uwezekano ni kweli waliwaambia! Mosi, hata Diamond alivyofanya ile show yake, kwa makusudi wakamchanganya na watu wengine kv Chege na Nay wa Mitego! Katika session ya Diamond, wakaimba nyimbo za Chege na Nay... kama kweli watu walijipanga, wakakosa nafasi coz' isingejulikana wanamzomea nani! Baada ya kuimba nyimbo za Chege na Nay, ndipo ghafla akaiunganishia Mdogo mdogo hapo hapo! Akarudi back stage akaja kujichomeka tena kwenye session ya Davido na kuimba Number One ambayo aliianza Davido wakati nyimbo ni ya Diamond! Kwahiyo kuna kila dalili kwamba watu walifahamu nini kilikuwa kinaendelea na hili halishangazi coz' hata hao wazomeaji walianza kuzomea wakati hata Diamond mwenyewe hajafika jukwaani!

watu wenye uelewa mkubwa kama wewe ni wachache sana humu ndani, asante kwa kumuumbua mleta mada, tabia chafu ya kuwalisha watu maneno mkomeeeeeeee
 
Aibu mtu mzima kuzomewa kama toto lililojikojolea, kama mimi ndo ndomo sihudhurii tena fiesta zao, hatumtak ndomo, kiba ndo habar ya mujini

Sasa watuache jukwaa la celeb tupumuwe, hivi mbona mama ubaya hakupanda jukwaani? Au alishasoma alama za nyakati?
 
Angalia unavyojikanganya...
Mara tena... saa chache tu baadae: Vipi jombaa, mbona hueleweki? Mara hamkufahamu, mara oh, kabla ya ile show watu wengi waliweka kama ushindani!!!!! We umeshasema ulikuwa hufahamu sasa how come tena unadai kabla ya show watu wengi... how did you know wakati hukufahamu lolote?
huyu ndio wachawi mwenyewe, mpotezeee, mkumbushe tu akiwa muongo asiwe msahaulifu.
 
Kwani wapi meneja wa Diamond alipomtaja Ali Kiba kwenye mazungumzo yake. Naona mtoa maada hujielewi.
 
Sasa watuache jukwaa la celeb tupumuwe, hivi mbona mama ubaya hakupanda jukwaani? Au alishasoma alama za nyakati?

Mama ubaya nasikia yupo china anakula bata na shoga zake akina madinda

Hili jukwaa now too much, diamond mpaka inakera, japokuwa ni celebrity lakin too much
 
Mkiambiwa kwamba mnapotosha huwa mnakataa... angalia sasa, unapotosha mchana kweupeee!! Wewe huyo huyo unasema uongozi wa Diamond unadai uliambiwa na Clouds lakini badala yake unaulaumu uongozi wa Diamond! Kwanini usihoji kwanza uhalali ama ukweli wa kauli hiyo badala ya kukimbilia kuulamu uongozi wa Diamond? Sasa kama uongozi wa Clouds waliuambia uongozi wa Diamond, how come tena unaulaumu uongozi wa Diamond wakati wao waliambiwa tu?

But all in all, angalia ulichomnukuu kiongozi wa Diamond: tukaambiwa kuna watu wamejiandaa kumzomea Diamond lakini badala yake wewe unabadilisha maneno na kusema: eti hao watu waliandaliwa! Ni nani aliyesema wameandaliwa wakati wao wamesema wamejiandaa? Hivi huoni hizo ni maana mbili tofauti? Hivi huoni mtu anaposema wamejiandaa ni suala binafsi... kwamba wao hawakumshika uchawi yeyote?

Tuje kwenye hoja... je, ni kweli Clouds waliwaambia uongozi wa Diamond au hawakuwaambia? Wala hapahitaji degree kufahamu ni kuna uwezekano ni kweli waliwaambia! Mosi, hata Diamond alivyofanya ile show yake, kwa makusudi wakamchanganya na watu wengine kv Chege na Nay wa Mitego! Katika session ya Diamond, wakaimba nyimbo za Chege na Nay... kama kweli watu walijipanga, wakakosa nafasi coz' isingejulikana wanamzomea nani! Baada ya kuimba nyimbo za Chege na Nay, ndipo ghafla akaiunganishia Mdogo mdogo hapo hapo! Akarudi back stage akaja kujichomeka tena kwenye session ya Davido na kuimba Number One ambayo aliianza Davido wakati nyimbo ni ya Diamond! Kwahiyo kuna kila dalili kwamba watu walifahamu nini kilikuwa kinaendelea na hili halishangazi coz' hata hao wazomeaji walianza kuzomea wakati hata Diamond mwenyewe hajafika jukwaani!

Unaakili sana, kapate novida naja kulipa
 
Mkuu Transporter iko hivi..

Kama ambavyo mashabiki wa simba wanafurahia wakiifunga yanga,basi sahv ndio mashabiki wa alikiba tunavofurahia alibomfunika diamond kwenye show..

Sasa tatzo kuna baadhi ya wajinga kama NasDaz na matumbo wao hawaamini kama alikiba ana uwezo wa kumfunika diamond kwenye show akijipanga kama alivofanya juzi..

Wao wanadai hizo ni ftna,eti waTZ wanataka wamshushe,how.!!
Diamond n mkali na ataendlea kuwa hivo kama akiendlea kutoa nyimbo nzur,lakin inawezekana waTZ weng wanadhani bado hajafikia uwezo wa Alikiba so wakishndanishwa ndo inatokea kitu kama ile ya juzi..

Kumbuka kabla ya ile show watu weng waliweka kama ni ushndan kat ya kiba na diamon,hvo mashabiki wakaonesha wanupenda upane gani zaid..

Mkuu unadhani watakuelewa?
Wao wakija hapa utasikia ni chuki, husda sijui fitna mara oooh Diamond anashushwa kwa lazima...
...kheee tutamaliza ndimu kwakweli!
 
Last edited by a moderator:
acha kutuaminisha ujinga ww, et walijiandaa ili wamzomee, kwa hiyo walokua wamejiandaa wakaenda kuupa taarifa uongoz wa cloudz kuwa leo tutamzomea diamond?? Even a standard 3 boy can't accept ur argument coz it doesn't make sense. Heb jarb kujipanga halaf uandike kama m2 mwenye akil timamu, umati wa watu wale wote wa organise kumuzomea dangote, kikao hcho waliitisha wap? Na nan alikichair? Jipange

Watu walioingia kwa makundi waliokuja na mabasi ya kukodi mpaka uwanjani....walienda moja kwa moja kusimama pale kati wale ndio walikuwa wanacontrol audience yote kila kitu kilianzia pale shangwe kwa Kiba na zomeazomea kwa Diamond. Wengi walijikuta wanacheza ngoma wasioijua ndio maana kuna muda watu wote walikuwa kimyaaa kipindi Diamond maskini ya Mungu akiimba, ile kwa wanasaikolojia wanasema kutafakari baada ya kuhisi hawafanyi sawa....soma ishu za mob psychology utaelewa sio lazima ubebe uwanja wote kutimiza nia yako.
 
Back
Top Bottom