Sentensi 4 za Uongozi wa Diamond Platnumz kuhusu kilichotokea kwenye Fiesta

Mama ubaya nasikia yupo china anakula bata na shoga zake akina madinda

Hili jukwaa now too much, diamond mpaka inakera, japokuwa ni celebrity lakin too much

Usishangae mkuu hii ndio nguvu ya Diamond kwa sasa....Wameitikisa wanaonja results zake nna uhakika hakuna binadamu anayejadiliwa kama Diamond kwa sasa hapa Tanzania, walifikiri wanamshusha kumbe wanamzidishia nguvu bila kutambua.
 

Unaniita mimi mjinga ila nadhani unajisema wewe.

Hivi utamfunikaje mtu wakati hamjapanda bado stejini....??

Aya mmemzomea what next? we unavyoona ameshuka au amezidi kupanda??

Nna uhakika Diamond afanye show yake kesho mtashangaa kuona history mpya ikiandikwa. Ndio nilikuwa nakwambia rizki ya mtu huwezi kuipora Mungu akiandika kaandika.
 
Last edited by a moderator:

Historia mpya iliyopo sasa ni hii ya Kiba kumfunika Diamond, hiyo historia nyingine unayoiota wewe kaisubili chooni.
 
huu ni uchonganishi tu mbona watu mnakuza ugomvi hivi ? jamani
 
Historia mpya iliyopo sasa ni hii ya Kiba kumfunika Diamond, hiyo historia nyingine unayoiota wewe kaisubili chooni.

achane ugomvi wa kijinga huu mbona uchonganishi umezidi
 
 
 
 
Last edited by a moderator:
 

Hakuna sehemu nilosema diamond kashuka..
Ndio maana nawashangaa nyie mnaosema lengo la diamond kuzomewa ni kushushwa kimuzik,nan kasema msanii anashuka kwa kuzomewa.!!!

M nnachotaka mkubali kuwa alikiba alimfunika diamond(kwa siku hyo),inawezekana diamond atakuja kumfunika alikiba kwa siku zjazo,hakuna tabu..

Sasa nyie mnaosema alizomewa kwa sababu amefanikiwa ndo mnosababisha mjadala uwe mkubwa..

Eti waTZ wana wivu ndo sababuvya kumzomea,ndio maana nasema wewe matumbo na mwenzako NasDaz na mwngne Paula kilaki ni wajinga wa kutupwa,yan mtu kazomewa jukwaani mnadai n wivu wa mafanikio..

Na nikiwauliza diamond ana mafanikio gani,kimyaaa..

Mbna juma nature alikua na mafanikio makubwa san hajawah kuzomewa,mbna Jide ana mafanikio makubwa saaaaaana hajawah kuzomewa.!!kwanini diamond(hapa ndo mjiulize)??

Mnadai et clouds wanataka wamshushe kwa taarfa yenu clouds ndo meneja mkuu wa diamond,na ndo walimshushaga kiba sababu sio mtu wa kushobokea na hakutaka kuwa chini yao kama alivo diamond..

Na kama clouds wangetaka kumzima diamond wasingetumia fiesta,kwa radio yao tu wangemzima ndani ya miez sita,na kwasabab yeye analetaga dharau kwa redio nyingne,basi ndo ungekua mwisho wake.
 
Last edited by a moderator:
team kibabu mtasubir sanaa uswahili tu unawasumbua just uhuru wa media nikikukera kafie mbali tell em haters I say shut up, am out.
 

Akili yako haina akili,bora ungeeendelea kucopy maneno ya watu sio take zako,pumba tupu,nan kakwambia JB anachukiwa Amerca?mfollw insta na twitter uone alvo na fans weng,acha roho mbaya ww mihemko ndo imekufanya upost hiv bt ukwel utabak pale pale Diamond ndo habar ya mjini,hakuzomewa na umati wote n wahun wachache waliokuwa mbele wenye wivu kama ww na pamoja na kuzomewa mwenzio katajwa kuwania tuzo channel O sasa huyo kibabu ako wa zama za mawe za kale yupo wapi?ukifika Omega ako kubali matokeo usitake urud Alfa kwa nguvu kubwa na kutumia wadogo zako waliokukuta kwenye game.....pooor Pro AllyKyuma
 
Uongozi wa Diamond kama ulifanya hivo ulitumia busara, katika mambo ya burudani kuna kushangiliwa, kuzomewa au kuchuniwa na mashabaki. Watu wana haki ya kuonyesha hisia zao kwa yeyote hakuna democrasia inayomtaka mtu ampende furani ni hisia za mtu na anakuwa sahihi. Katika hilo mwanamziki lazima ajiandae. Kama watu wanampenda kiba hakuna shida hapo na kama watu hawapendi mziki wa Diamond na haki yao pia.Kumbuka kila mtu anamajaliwa yake. Kuna wanamziki wanauza sana kazi zao lakini hawafanyi vizuri kwenye matamasha, kuna wengine wanafanya vizuri kwenye matamasha lakini hauzi vizuri, kuna wengine wanapata deal za matanngazo, wengine wana pata mialiko ya mingi ya nje, wengine wanapendwa kimataifa nyumbani hapana, wengine nyumbani ni wafalme lakini nje sio. Mfano Tanzania Camereone ni kama sebuleni kwake hata watoto wanamjua lakini mpinzani wake BEBE COOL hapa Tanzania hajulikani.

Kwa ufupi dunia ya ushindani ndivo ilivyo hivyo hakuna sababu ya kushangaa. Kama Diamond angepanik angekuwa hajakomaa kimziki. Hongera uongozi wa Diamond.
 
Waswahili husema. Ukiona unasifiwa jiandae........... Malizia Na wewe
 

Ana roho mbaya mamako..
Kama ameshafika omega kwanini alishangiliwa zaid ya aliye alfa..
 
Eti waTZ wana wivu ndo sababuvya kumzomea,ndio maana nasema wewe matumbo na mwenzako NasDaz na mwngne Paula kilaki ni wajinga wa kutupwa,yan mtu kazomewa jukwaani mnadai n wivu wa mafanikio...
Was it necessary kuita watu wajinga? Hivi kwanini unapenda kutumia lugha c
hafu hata kwa watu ambao hawajawahi kutumia lugha chafu kwako? Nakuomba ujiheshimu coz' that's the only way if you want to respected. Usidhani watu tunashindwa kutumia lugha za hovyo hovyo kama za kwako. Mara ya kwanza umetoa lugha chafu na nimekukaushia na wala usidhani kwamba kuna mtu anaogopa ban hapa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…