Sentensi 4 za Uongozi wa Diamond Platnumz kuhusu kilichotokea kwenye Fiesta

Sentensi 4 za Uongozi wa Diamond Platnumz kuhusu kilichotokea kwenye Fiesta

Mama ubaya nasikia yupo china anakula bata na shoga zake akina madinda

Hili jukwaa now too much, diamond mpaka inakera, japokuwa ni celebrity lakin too much

Usishangae mkuu hii ndio nguvu ya Diamond kwa sasa....Wameitikisa wanaonja results zake nna uhakika hakuna binadamu anayejadiliwa kama Diamond kwa sasa hapa Tanzania, walifikiri wanamshusha kumbe wanamzidishia nguvu bila kutambua.
 
Mkuu Transporter iko hivi..

Kama ambavyo mashabiki wa simba wanafurahia wakiifunga yanga,basi sahv ndio mashabiki wa alikiba tunavofurahia alibomfunika diamond kwenye show..

Sasa tatzo kuna baadhi ya wajinga kama NasDaz na matumbo wao hawaamini kama alikiba ana uwezo wa kumfunika diamond kwenye show akijipanga kama alivofanya juzi..

Wao wanadai hizo ni ftna,eti waTZ wanataka wamshushe,how.!!
Diamond n mkali na ataendlea kuwa hivo kama akiendlea kutoa nyimbo nzur,lakin inawezekana waTZ weng wanadhani bado hajafikia uwezo wa Alikiba so wakishndanishwa ndo inatokea kitu kama ile ya juzi..

Kumbuka kabla ya ile show watu weng waliweka kama ni ushndan kat ya kiba na diamon,hvo mashabiki wakaonesha wanupenda upane gani zaid..

Unaniita mimi mjinga ila nadhani unajisema wewe.

Hivi utamfunikaje mtu wakati hamjapanda bado stejini....??

Aya mmemzomea what next? we unavyoona ameshuka au amezidi kupanda??

Nna uhakika Diamond afanye show yake kesho mtashangaa kuona history mpya ikiandikwa. Ndio nilikuwa nakwambia rizki ya mtu huwezi kuipora Mungu akiandika kaandika.
 
Last edited by a moderator:

Historia mpya iliyopo sasa ni hii ya Kiba kumfunika Diamond, hiyo historia nyingine unayoiota wewe kaisubili chooni.
 
huu ni uchonganishi tu mbona watu mnakuza ugomvi hivi ? jamani
 
Historia mpya iliyopo sasa ni hii ya Kiba kumfunika Diamond, hiyo historia nyingine unayoiota wewe kaisubili chooni.

achane ugomvi wa kijinga huu mbona uchonganishi umezidi
 
Aibu mtu mzima kuzomewa kama toto lililojikojolea, kama mimi ndo ndomo sihudhurii tena fiesta zao, hatumtak ndomo, kiba ndo habar ya mujini[/QUOT

Baada ya tukio la fiesta nimeanza kumuelewa Jide alifanya la maana kuwachana hawa jamaa.Nilifikiri Jide mkorofi kumbe!! Diamond ahachane na Fiesta kabisa.
 
Clouds wanasaidia sana wasanii, ila hawapendi kuona wasanii wanaowasaidia wakikua zaidi au kufanikiwa, apo watafanya juu chini kumshusha ndomo kwa sababu wanajua ni tishio kubwa sana na huenda akawasaliti kama jide , so wanachofanya ni kumuwahi ndomo na kumdhibiti kama walivyojaribu kufanya kwa jide, ndomo asipokuwa makini sasa ivi atashuka, clouds wana mkono mrefu sana kwenye tasnia ya muziki apa bongo, inabid apambane sana maana hii vita siyo ya kitoto, anapambana na watu wenye mafanikio na pesa kuliko yeye, akizubaa tu tutamsahau, ndomo ana nguvu na uwezo wa kufanya chochote kwa sasa kama alivyofanya jide, hawa watu sio wazuri
 
Binamu warumi wakati sisi tulipostand unite na dada yetu Commando Jide wao walikuwa upande wa dhulma na Mwanahamis wao na tuliwafunza adabu leo ndio wanauona ubaya wa clouds kisa Domo lao limepata aibu ya kufungia mwaka 2014. Achana nao wanafki hao.
 
Last edited by a moderator:
Clouds wanasaidia sana wasanii, ila hawapendi kuona wasanii wanaowasaidia wakikua zaidi au kufanikiwa, apo watafanya juu chini kumshusha ndomo kwa sababu wanajua ni tishio kubwa sana na huenda akawasaliti kama jide , so wanachofanya ni kumuwahi ndomo na kumdhibiti kama walivyojaribu kufanya kwa jide, ndomo asipokuwa makini sasa ivi atashuka, clouds wana mkono mrefu sana kwenye tasnia ya muziki apa bongo, inabid apambane sana maana hii vita siyo ya kitoto, anapambana na watu wenye mafanikio na pesa kuliko yeye, akizubaa tu tutamsahau, ndomo ana nguvu na uwezo wa kufanya chochote kwa sasa kama alivyofanya jide, hawa watu sio wazuri

Ni kweli aisee usipo kuwa makini una kwenda na maji na unasahaulika kabisa na wasanii nao wajifunze kujiamini na kazi zao sio kutegemea watu wachache wa kupandishe Jide was strong na wengi walikua wana mkubali na akapata support Jide walimtenga wasanii wote but she stood na akafika wajifunze sasa
 
Unaniita mimi mjinga ila nadhani unajisema wewe.

Hivi utamfunikaje mtu wakati hamjapanda bado stejini....??

Aya mmemzomea what next? we unavyoona ameshuka au amezidi kupanda??

Nna uhakika Diamond afanye show yake kesho mtashangaa kuona history mpya ikiandikwa. Ndio nilikuwa nakwambia rizki ya mtu huwezi kuipora Mungu akiandika kaandika.

Hakuna sehemu nilosema diamond kashuka..
Ndio maana nawashangaa nyie mnaosema lengo la diamond kuzomewa ni kushushwa kimuzik,nan kasema msanii anashuka kwa kuzomewa.!!!

M nnachotaka mkubali kuwa alikiba alimfunika diamond(kwa siku hyo),inawezekana diamond atakuja kumfunika alikiba kwa siku zjazo,hakuna tabu..

Sasa nyie mnaosema alizomewa kwa sababu amefanikiwa ndo mnosababisha mjadala uwe mkubwa..

Eti waTZ wana wivu ndo sababuvya kumzomea,ndio maana nasema wewe matumbo na mwenzako NasDaz na mwngne Paula kilaki ni wajinga wa kutupwa,yan mtu kazomewa jukwaani mnadai n wivu wa mafanikio..

Na nikiwauliza diamond ana mafanikio gani,kimyaaa..

Mbna juma nature alikua na mafanikio makubwa san hajawah kuzomewa,mbna Jide ana mafanikio makubwa saaaaaana hajawah kuzomewa.!!kwanini diamond(hapa ndo mjiulize)??

Mnadai et clouds wanataka wamshushe kwa taarfa yenu clouds ndo meneja mkuu wa diamond,na ndo walimshushaga kiba sababu sio mtu wa kushobokea na hakutaka kuwa chini yao kama alivo diamond..

Na kama clouds wangetaka kumzima diamond wasingetumia fiesta,kwa radio yao tu wangemzima ndani ya miez sita,na kwasabab yeye analetaga dharau kwa redio nyingne,basi ndo ungekua mwisho wake.
 
Last edited by a moderator:
team kibabu mtasubir sanaa uswahili tu unawasumbua just uhuru wa media nikikukera kafie mbali tell em haters I say shut up, am out.
 
HIZI NI SENTENSI 4 ALIZOZISEMA MENEJA WA DIAMOND KUHUSU DIAMOND KUZOMEWA KWENYE FIESTA..

1.sisi tumechukulia sehemu ya mashindano,uzuri sisi tuliambiwa na uongozi wa Clouds kabla ya Diamond hajapanda ilikua saa 3 kamili tukaitwa tukaambiwa kuna watu wamejiandaa kumzomea Diamond.

2.Kama uongozi tulikaa na msanii wetu na kumjenga kisaikolojia na kumwambia kuna hivi vinatokea wao walitaka aanze Davido kisha afate Diamond kupunguza watu watakaozomea tukasema hapana pangeni show yenu kama ilivyokuwa ni sehemu ya mashabiki kufurahi.

3.Hatujaathirika kwamba msanii wetu ameshuka tunapoona watu wanapiga kelele kwa ajili yako au huna sifa ile unatakiwa uangalie umekosea wapi unaenda wapi,hatuna makosa kwa mashabiki wetu.

4.Kikubwa Diamond anafanya vizuri tunatakiwa kuhamisha macho yetu tumpigie kura Diamond kwenye tuzo za Channel O Music Awards, kwa sababu mwisho wa siku chema chajiuza kibaya chajitembeza

MY OPINIONS..
Ukisoma sentensi ya kwanza utagundua kumbe kulikua na mashindano ambayo sisi hatukuyajua,na meneja wa diamond kakubali kushndwa..

MY TAKE..
Nimesikitishwa na maneno ya management ya diamond kusema eti hao watu waliandaliwa,how on earth.!!!ina maana alikiba aliuziwa tiket zote kwa jumla ili watu waingie wamzomee chibu.!!acheni hzo,angezomewa ali ndo ingekuwa halali,.??

nadhan mmepungukiwa uelewa tu,kila msanii ana mashabiki wake,inawezekana kwenye fiesta mashabik weng walikuwa wa alikiba..au walimshangilia sana kwasabab walimmis sana kwenye jukwaa la fiesta tofaut na diamond ambaye kila mwaka yupo..

CHA MSING #TEAM_DIAMOND MUANGALIE NI WAPI MLITEREZA SIKU ILE NA KUJIPANGA UPYA KULIKO HII STYLE YA KUTAKA KULAZIMISHA MASHABIKI WAMSHABIKIE DIAMOND NA WASIPOFANYA HIVYO ETI WANA WIVU NA MAFANIKIO YAKE,pathetic.!!!kwanin wasimzomee MBWANA SAMATA.???au kwa ujinga wenu mnadhani diamond ni kijana pekee maarufu mwenye MAFANIKIO hapa TZ.!!

Kwanini mashabiki hawamzomei Jide JAY DEE,mbona yeye ana mafanikio kuliko DIAMOND.?

Au mafanikio ni kuwachakaza bongo movies.?

Mwisho,watu hawapendezwi na tabia za diamond pamoja na majivuno yake,hata JUSTIN BEIBER kule malekani kwa sasa mashabiki wanamchukia sana kwasababu hyo,inabd abadrike..

Mfano mimi binafsi namchukia kwasababu alisema mkoani kwetu hakuna hoteli yenye hadhi ya kufikia yeye,wakat hata KOFI ANAN alikujaga mbeya na kulala kwenye hotel mojawapo hapa..sasa yeye na ANAN nan yupo juu..

DIAMOND PLATNUMZ=JUSTIN BEIBER..

Akili yako haina akili,bora ungeeendelea kucopy maneno ya watu sio take zako,pumba tupu,nan kakwambia JB anachukiwa Amerca?mfollw insta na twitter uone alvo na fans weng,acha roho mbaya ww mihemko ndo imekufanya upost hiv bt ukwel utabak pale pale Diamond ndo habar ya mjini,hakuzomewa na umati wote n wahun wachache waliokuwa mbele wenye wivu kama ww na pamoja na kuzomewa mwenzio katajwa kuwania tuzo channel O sasa huyo kibabu ako wa zama za mawe za kale yupo wapi?ukifika Omega ako kubali matokeo usitake urud Alfa kwa nguvu kubwa na kutumia wadogo zako waliokukuta kwenye game.....pooor Pro AllyKyuma
 
Uongozi wa Diamond kama ulifanya hivo ulitumia busara, katika mambo ya burudani kuna kushangiliwa, kuzomewa au kuchuniwa na mashabaki. Watu wana haki ya kuonyesha hisia zao kwa yeyote hakuna democrasia inayomtaka mtu ampende furani ni hisia za mtu na anakuwa sahihi. Katika hilo mwanamziki lazima ajiandae. Kama watu wanampenda kiba hakuna shida hapo na kama watu hawapendi mziki wa Diamond na haki yao pia.Kumbuka kila mtu anamajaliwa yake. Kuna wanamziki wanauza sana kazi zao lakini hawafanyi vizuri kwenye matamasha, kuna wengine wanafanya vizuri kwenye matamasha lakini hauzi vizuri, kuna wengine wanapata deal za matanngazo, wengine wana pata mialiko ya mingi ya nje, wengine wanapendwa kimataifa nyumbani hapana, wengine nyumbani ni wafalme lakini nje sio. Mfano Tanzania Camereone ni kama sebuleni kwake hata watoto wanamjua lakini mpinzani wake BEBE COOL hapa Tanzania hajulikani.

Kwa ufupi dunia ya ushindani ndivo ilivyo hivyo hakuna sababu ya kushangaa. Kama Diamond angepanik angekuwa hajakomaa kimziki. Hongera uongozi wa Diamond.
 
Waswahili husema. Ukiona unasifiwa jiandae........... Malizia Na wewe
 
Akili yako haina akili,bora ungeeendelea kucopy maneno ya watu sio take zako,pumba tupu,nan kakwambia JB anachukiwa Amerca?mfollw insta na twitter uone alvo na fans weng,acha roho mbaya ww mihemko ndo imekufanya upost hiv bt ukwel utabak pale pale Diamond ndo habar ya mjini,hakuzomewa na umati wote n wahun wachache waliokuwa mbele wenye wivu kama ww na pamoja na kuzomewa mwenzio katajwa kuwania tuzo channel O sasa huyo kibabu ako wa zama za mawe za kale yupo wapi?ukifika Omega ako kubali matokeo usitake urud Alfa kwa nguvu kubwa na kutumia wadogo zako waliokukuta kwenye game.....pooor Pro AllyKyuma

Ana roho mbaya mamako..
Kama ameshafika omega kwanini alishangiliwa zaid ya aliye alfa..
 
Eti waTZ wana wivu ndo sababuvya kumzomea,ndio maana nasema wewe matumbo na mwenzako NasDaz na mwngne Paula kilaki ni wajinga wa kutupwa,yan mtu kazomewa jukwaani mnadai n wivu wa mafanikio...
Was it necessary kuita watu wajinga? Hivi kwanini unapenda kutumia lugha c
hafu hata kwa watu ambao hawajawahi kutumia lugha chafu kwako? Nakuomba ujiheshimu coz' that's the only way if you want to respected. Usidhani watu tunashindwa kutumia lugha za hovyo hovyo kama za kwako. Mara ya kwanza umetoa lugha chafu na nimekukaushia na wala usidhani kwamba kuna mtu anaogopa ban hapa...
 
Back
Top Bottom